Kuna nini kilichojificha kwenye upigaji wa hizi picha, naona mara nyingi vijana wakipiga picha wamesimama mbele ya magari yao, muda si mrefu utasikia amepata ajali mbaya sana na gari husika halitamaniki.Tahadhari:
Mwendokasi unaua
Mwendokasi unafisha ndoto nyingi
Mwendokasi unaleta majonzi
Mwendokasi unahujumu uchumi
Tazama video na picha
Video
View attachment 1564447
Nimempoteza mdogo wangu kwa style kama hiyo.