Hii ni ajali subaru

Hii ni ajali subaru

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,607
Reaction score
858,109
Tahadhari:
Mwendokasi unaua
Mwendokasi unafisha ndoto nyingi
Mwendokasi unaleta majonzi
Mwendokasi unahujumu uchumi
Tazama video na picha


Video
 
Mbona huu mwendo wa kawaida kabisaa...!! Hivi zile V8 za mhe zikiwa kwenye msafara si huwa zinaenda hata 150km/hr sema tu dogo siku yake ilifikaaa
 
IMG-20200909-WA0020.jpg
IMG-20200909-WA0060.jpg
 
Nimeona subaru nadhani hapo ni Arusha hua nawaangalia tu sijui hizo speed hua wanawahi wapi. Siku yako inaweza kua haijafika ila ukaiwahisha.
Geita hiyo kaka sio Arusha
 
Hii ni jana Geita
Nilifika muda mchache baada ya tukio

Kwa kifupi hakuna aliyestuka na hiyo ajali, kwa Geita mjini hakuna asiyemjua huyo jamaa!

Hana speed ya kistaarabu hata kidogo sadly aliyefariki ni mshikaji wake jamaa mwenye rafu yuko majeruhi!
 
Back
Top Bottom