East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,078
Teknolojia ya protection ya hizo gari ni ya kitambo. Na watumiaji wa hizo gari hawataki kuzijua na matokeo yake wanajisahahu kuwa usalama uliopo kwenye RR upo juu sana kulinganisha na hizo subaru.. na utaona ujinga wao kuna nyakati wanataka kuvimbiana na wenye hizo gari wawapo roadSasa kwanini haya magari wanayapa uwezo huo ? Yaani 180kph au zaidi. Kuna tatizo zaidi ya speed.