Hawajaamka kufungua.Bado wanaandaa kahawa ndani.Maduka chini yamefungwa au wako kwenye process ya ku demolishe?
Hawabahatishi.Siyo kama yale ya Kariakoo yaliyowaswekwa mkurugenzi na injinia lupango.😝😝😝😝Nimependa msingi ni imara sana
Lazima itakuwa hivyo.Na chini yake kutakuwa na "nyumba" ingine.Sijui mnaiitaje vile kwa kigogo?The "down-under" floor!😝😝Hapa kwenye msingi kuna reli kadhaa zimelazwa.