Pole sana ndugu, Mungu akusimamie!Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.
Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.
Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.
Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.
Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
Jikaze ndugu ndo ukubwa na uanaume[emoji120] Niko makini mkuu.....najitahidi kujikaza
Aiseeh...mwenye upele hapewi kucha.Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.
Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.
Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
Jaman mke haachwi kwa kosa moja lol....Kuna uzi humu unasema usiguse simu ya mwanaume/ mwanamke kuna privacy zake.
Nilikuwa nawaza sana hizo privacy ni zipi, hatimae nimejua kwa nini hawataki washikiwe simu zao.
Nasema hivi, huyo kesha kuwa mke wa stuff mate hata ukikomaa utagongewa hadi mnazeeka nakuomba umwachie jamaa aoe.
Kwa vile ushahidi upo nenda kamkabidhishe kwao uendelee na maisha yako.
Ukiilazimisha hiyo ndoa itakugharimu maisha yako( huyo yuko radhi akuue ili aendelee na huyo jamaa, sio kwa kitendo hicho alichokifanya).
FukuzaMi nshapanic hapa............wewe nishauri kulingana na hiyo scenario
...acha ujinga wewwJaman mke haachwi kwa kosa moja lol....
AiseeAisee tena bora angekulwa na wa mbali hata usiye mjua,rafiki yako mwe!!! Amekukosea sana,.me nakushauri fanya hivi; kabla hamjaitana kwenye vikao na familia muulize kwanza wakati unamgegeda,.mkaze kwelikweli halafu ndio umuulize hayo mambo katikati ya mgegedo hakikisha kila unavyomuuliza na speed unaiongeza na usiutoe nje mgegedo usiruhusu kabisaa hewa kupita,.
Shenztaip!!!!