Hii nyimbo mpya ya Alikiba ni Diss track?

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,694
Hii nyimbo mpya ya Alikiba ni Diss track ?...

Kwa maana rahisi ya kamusi Mediocre ni 'ya kawaida' 'wakaida' 'wa wastani' yani hujafika kwenye good ila ishatoka kwenye bad yani unajitahidi.

Nani sasa anaijitahidi au wa kawaida kwa kiba?.

Ukiskiliza mashairi ya nyimbo ya alikiba(mediocre) ni dhahili shahiri kuna mtu anamdis,

Tumezoea diss track kutoka kwa wasanii wa HIP HOP, tuu hawa kubana pua na R&B hua hawanaga hata mambo.

Wana hip hop kama kina TI ,50 CENT na 2 PAC washafanya sana vitu kama hivi
Hapa Africa wasanii wa kubwa kama CasperNiovest kashatoa mpaka Diss Album ya kumdiss AKA yani Album ni ngoma 12 anachnwa mtu mmoja
humo ukiskiliza verse tuu utajua ni AKA anadisiwa.

Hii ya alikiba ni kuna mtu ana mdiss ila anamuogopa !
Mana anazunguka Unguka wazungu wanasema 'snick around the bush'
Yani anazunguka bila point

Kwanini? ...Diss track hua ziko direct na Mara nyingine hua wataja hadi majina kwenye track ,
Ulimskiliza eminem kwenye ngoma 'THE WARNING'? huumizi kichwa kichwa kujua kama ni Marian Kerry ndio anachanwa humo ndani au kwenye 'NAILS IN COFFIN' ni simple na majina anataja na kama asipo taka basi anachoongea anakua direct.

Kwa kifupi kinacho tofautisha taarabu na Diss track ni namna ya uwasilishaji wa ujumbe
Diss iko moja kwa moja na inaeleweka ila Taarabu ni unazunguuka Mara nyingine hata anae lengwa anaweza asijue kama analengwa.

Kwa hii Ngoma alio toa Kiba tunaiweka wapi kwa Diss track au taarab.?

Majibu inayo!

#mediocre

Diamond alimdiss Kiba kuwa waambie Dada zako kariakoo wakupeleke Ulaya...ndo mana Kiba anamwambia Ulaya nshafika na Marekani pia...kisha anamwambia sichezi na Dada zangu na cheza Dada ako...maana King Kiba ameshakula Queen Darleen.

Kuna mengi sana humo fuatilia vizuri ila mengi majibu tu...huyo Mond ndo ameanzaga hizo diss kitambo tu kwa bwana Kiba...ambaye anasisitiza kuwa ushamba ni mwiko kwa mtoto wa Kariakoo...
 
Unajua sababu ya mond kuanza kurusha vijembe??
 
Mond hajawahi kusema sababu ya kurusha vijembe...ila nahisi alikua anahitaji malumbano for business purposes...
Unakumbuka kipindi alikiba anarudi kwenye mziki baada ya kukaa kimya alivyokuwa anamponda diamond?? Hiyo ndio sabab
 
Unakumbuka kipindi alikiba anarudi kwenye mziki baada ya kukaa kimya alivyokuwa anamponda diamond?? Hiyo ndio sabab
Nakumbuka walimuuliza kama kiti chake cha ufalme kimekaliwa na msanii mwingine( wakimaanisha Diamond ) au la?
Akajibu "Kiti changu hakijakaliwa ,nimekuja kukifuta vumbi na kukalia mwenyewe"

Je hiyo nayo ni kuponda?
 
Utakuwa hukufuatilia vzr nenda kaangalie sporah show then mkasi utapata majibu
 
Nitajie baadhi ya maneno mabaya unayokumbuka...nimesahau labda.
Kiba aliwahisema diamond ananunua tuzo hii kauli aliitoa nazani Ni ya 2015 akihojiwa na millad ayo mzee baba huyo kiba ana maneno machafu Sana SEMA wewe utakuwa umeanza kumjua 2016 hiv
 
Kiba aliwahisema diamond ananunua tuzo hii kauli aliitoa nazani Ni ya 2015 akihojiwa na millad ayo mzee baba huyo kiba ana maneno machafu Sana SEMA wewe utakuwa umeanza kumjua 2016 hiv
2016??????????
Nimenunua Tape za Album za wasanii tangu zinauzwa 800 wala CD haziexist.
Nimewasikiliza kwanza Unit..Hard Blasters kabla ya Jay...Namsikliza Sugu akiimba ni wapi tutakwenda...muanzilishi wenu wa bongo flava(kwa maana ya muziki wa kuimba) Dully anatoka 2001 na wimbo unaitwa Julieta mi namsikia.....sembuse Ali Kiba huyu anatoka 2006 kwenye wimbo wa Abby Skills wa Maria.

Naufuatilia mziki tangu enzi ni Passion siyo sasa fashion...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom