Bonyeza hapa ushangae maajabu ya Musa: http://www.nec.go.tz sasa inayo bajeti, inayowatendaji n.k hivi wanashindwa hata kubadilisha matokeo au kuonesha kuna uchaguzi mdogo wa madiwani?
Mara ya kumwisho kuwa updated ni March wakati wa uchaguzi wa Tunduru. Duh hii kazi kweli ndio ofice zetu zinavyo enda. Ukienda hapo kweny schedule of activity inaonyesha hakuna activity yeyote. Hizi ndio website zetu za serikali.
angalau miezi mingine basi wanaweza kusema hakukuwa na "uchaguzi" lakini wikiendi ya uchaguzi, no news no nothing.. hata wapinzani wakitaka kulia watashindwa kulia.. !!
sitashangaa kuna mtu analipwa kumaintan hiyo site na wanayo bajeti yake. Ila ni vigumu kiasi gani kusimamia tovuti ya serikali? maana kulikuwa na wananchi.go.tz na nyinginezo kuwa updated inakuwa mbinde yaani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.