Hii "NEC" Nyingine Mbona yenda kama hayendi!?

Mara ya kumwisho kuwa updated ni March wakati wa uchaguzi wa Tunduru. Duh hii kazi kweli ndio ofice zetu zinavyo enda. Ukienda hapo kweny schedule of activity inaonyesha hakuna activity yeyote. Hizi ndio website zetu za serikali.
 
angalau miezi mingine basi wanaweza kusema hakukuwa na "uchaguzi" lakini wikiendi ya uchaguzi, no news no nothing.. hata wapinzani wakitaka kulia watashindwa kulia.. !!
 
Hii inaonyesha hata NEC hawakuwa na uhakika kwamba uchaguzi utafanyika.
 
sitashangaa kuna mtu analipwa kumaintan hiyo site na wanayo bajeti yake. Ila ni vigumu kiasi gani kusimamia tovuti ya serikali? maana kulikuwa na wananchi.go.tz na nyinginezo kuwa updated inakuwa mbinde yaani!
 
Back
Top Bottom