Hii ndoto inamaanisha nini?

wakati mwengine naogopa kwamba yatakuja mazito sitaweza kuhandle
 
ninaota ndoto za kukaribishwa kula lakini ikifika nataka kula huanashtuka hapohapo na najikuta hua najiuliza ndotoni mbona kama nyama sielewi ni nyama gan imekaangwa wakat huo nafosiwa kula ni tam mimi nikishika tu kipande lazima nitashtuka nishazoea sasa
 
Unalala kwanza usingiz unaisha ,ndio unafanya ,pia ukipata mwongozo ni vizuri zaidi kwa sababu kila aina ya meditation ina kazi yake.
naupata kupitia wapi google? sina elim kuhusu hii kitu zaidi ya kusoma soma tu
 
ulikutana na nn? hebu nielezee
 
Acha kuzifatilia ndoto mpenz zitakupotezea muda
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watafsiri wa ndoto wanasema kuhusu kulishwa nyama Ni ndoto mbaya Sana inahusiana na ushirikina na uchawi
 
kiuhalisia usiku unapolala,roho huwa inatoka na kusafiri pote pale,ndo manake unaambiwa usimwamshe kwa kumstukiza mtu aliyelala anaweza akafariki!!,,,,yaani namaanisha mwili ni jela ya roho,na siku unapokufa ndo siku roho yako inapokuwa huru,,,,,,,yaani kwa watu wenye imani kali ni kwamba,,,"siku ya kuzaliwa ndo sikuya kufa {ndo manake unalia sana kwa uchungu nausipolia unapigwa vibao vya mgongo mpaka ulie na ajabu ni kwamba walikuzunguka wanacheka kwa furaha,na siku yako ya kufa wewe unakuwa kimya lakini waliokuzunguka wanalia kwa uchungu}
 
Kwa vile umeongea ndio basi haiendi hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…