Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

Huyu ndio tabia yake, anapenda sana kufuatilia simu yangu. Wakati mwingine anaiba simu yangu anachukua namba, anaanza kuwapigia watu anaoona calls zimeingia sana. Ana wivu wa kitoto sana
Sasa weka mashart ambayo nawe utayumudu wivu unamsumbua. Isije nawe ukawa kimeo jitahidi kujiweka mbali na wanawake amabao hawana maslahi kwako. Mpende mkeo naye atakuheshimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aah mkuu, mimi mwenyewe sikuamini kama angebeba hadi kisu, nikajisemea huyu kama kadiriki kuja na kisu live atashindwaje kuniwekea sumu kwenye chakula
Visu ni mikwala tu acheni kuwa karibu na vimeo visivyokuwa nanfaida kwenu. Angalia sasa ndoa yako iko icu yule demu yuko wapi kukusaidia? Vaa viatu vya mke wako kama angeongea na simu alafu wewe ukajua kama saa hii asingekuwa icu basi kwa mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa nyingi sana sikuhizi ni Ndoano. Wanandoa wamepoteza nyuso za furaha muda wote wana mawazo sana, Wengine hudiriki kusema hadharani najuta kuoa/kuolewa na mtu huyu. Mungu awajaalieni busara za kuziishi ndoa zenu na Akili ya utatuzi wa changamoto mnazopitia.
Aisee umeona mbali sana kaka! Ndio maana michepuka haiishi too stressed kwenye ndoa now days.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu kama unajuta kumuoa Hiyo mwanamke ni bora utuachie nafasi wengine. Wewe subiri Mahari tu
 
Back
Top Bottom