Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 748
- 1,149
Sasa weka mashart ambayo nawe utayumudu wivu unamsumbua. Isije nawe ukawa kimeo jitahidi kujiweka mbali na wanawake amabao hawana maslahi kwako. Mpende mkeo naye atakuheshimu.Huyu ndio tabia yake, anapenda sana kufuatilia simu yangu. Wakati mwingine anaiba simu yangu anachukua namba, anaanza kuwapigia watu anaoona calls zimeingia sana. Ana wivu wa kitoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app