Unataka kumtongoza asimpe manoah ban?
Mmmmmh........!!!
una lugha kali kaka yangu.....
Ngoja atakuja kukupa hi ila usikimbie. Nicas Mtei hutoniona napigwa Ban tena humu Jf.. ah ah!
Ngoja atakuja kukupa hi ila usikimbie. Nicas Mtei hutoniona napigwa Ban tena humu Jf.. ah ah!
Tafuta kamusi ya kiswahili uangalie maana ya neno 'Tongoza'.
Kipindi kile ilikuaje ukalazwa sevan?
Hata kama lipo kwenye kamusi..Kwa maadili ya kibongo linatajwa na watu wenye tabia zile....
ukali wake uko wap? Au wewe na Zion Daughter ndo mnaliweka ukali?
Zion Daughter unafikiri neno gani linafaa kutumika?