Hii ndo siri kubwa iliyofichwa kwenye LOGO ya Apple..

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Hii ndo siri kubwa iliyofichwa kwenye LOGO ya Apple..
Tazama logo hii iliyotengenezwa kwa maarifa ya juu zaidi... na maana yake

1460528043144.jpg
 
Ni pumba tu hizi

Soma historia ya Apple na waanzilishi utajua walipoanzisha hii kampuni walikuwa watatu mmoja wao alijitoa baada ya siku kumi tu.

Wakiwa wamekaa chini ya mti wa apple ndipo wakaulizana tuitolee jina gani?
Si Vyema Kuuita Uzi Wa Mwenzako Pumba Kwakuwa Hukubaliani Nae. Tumia Busara Tu Ndugu Mbona Haina Gharama Hata Ya Tsh1.
Nje Ya Hapo Yeye Amegusa Maswala Ya Kiimani Ambayo Pia Yanaweza Yakawa Kwel Ama Si Kweli. Kwani Kila Historia Ni Ya Kweli Kama Unavyoamini Hiyo Stori Yao.
Tuwe Makini Jamani Tisiamini Sana Akili Zetu Na Kuwaona Wengine Wajinga.
 
alliens ni nini mimi sijui naona muvini tu
 
Ni pumba tu hizi

Soma historia ya Apple na waanzilishi utajua walipoanzisha hii kampuni walikuwa watatu mmoja wao alijitoa baada ya siku kumi tu.

Wakiwa wamekaa chini ya mti wa apple ndipo wakaulizana tuitolee jina gani?
Huo mti wa matunda ya apple, matunda yake yote yalikuwa yameliwa kidogo!? Kwanini wasingeweka alama ya apple kamili lisiloliwa?
 
Si Vyema Kuuita Uzi Wa Mwenzako Pumba Kwakuwa Hukubaliani Nae. Tumia Busara Tu Ndugu Mbona Haina Gharama Hata Ya Tsh1.
Nje Ya Hapo Yeye Amegusa Maswala Ya Kiimani Ambayo Pia Yanaweza Yakawa Kwel Ama Si Kweli. Kwani Kila Historia Ni Ya Kweli Kama Unavyoamini Hiyo Stori Yao.
Tuwe Makini Jamani Tisiamini Sana Akili Zetu Na Kuwaona Wengine Wajinga.
Alliens ni swala la imani? Hebu nipe aya kwanza nisome.
 
Huo mti wa matunda ya apple, matunda yake yote yalikuwa yameliwa kidogo!? Kwanini wasingeweka alama ya apple kamili lisiloliwa?
Kama walikula kipande sijui lakini wiki iliyopita aliendewa yule mzee aliyevunja mkataba nao na waandishi walimhoji maswali mengi na kumwambia kwa sasa kampuni ina $600b na mgao wako kwa sasa kwa 10% ungepiga hela za kutosha tu akasema I don't regret.

Hapo akaongelea na hiyo nembo pia
 
Soma google ujue mikataba ya siri iliyofanywa na mataifa makubwa juu ya tecknolojia, ndipo utaelewa maana ya hiyo logo...
hapana ngojanitafute jinsi ya kumuibia bosi wangu hahahaha lol sasa mimi mambo ya hayo makitu ya nn si nasikia wamo kwenye nibiru itayotugonga soon? hihihiih
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom