Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
kuhakikisha kuwa watoto wakitaka kuku wanapata au meza ya chakula haiishiwi
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
hahahah lol..kwani mada iko pm...ze boss vipi lakini!!
we jiandae tu aisee
nakuja kuidai lol
Siri kubwa ya mwanaume anayo mkewe.
1: Mwenye upendo. ukimpenda mkeo utampa mapenzi yaliyoshiba.
2:Anayejali. ukijali familia zote mbili utaheshimika.
3:Mpenda maendeleo. utawasaidia ndugu zako kusonga mbele kiuchumi. kielimu. kitabia.
4:Mcha Mungu. Hapa n mambo yote.
Sex play ni kasehemu ka mwisho ktk ubora wa dume.