Hii ndo sifa kubwa ya Mwanaume......!!!

vijana wa kiume tunajisahau kulko ata dada zetu apo umetaja mama..mkeo..watoto..dada ..vp baba yako aliyekuzaa tuache upuuuz baba sna umuhmu mkubwa mikumbo itawaponza
Hiyo ni simultaneous equation sasa jinsi ya kusolve inategemea kama unatumia substitution au elimination method!!!!!!
 
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?

Kosa akili, uwe mtumwa wa mawazo na ndiyo utajua kuwa sifa kubwa ya binadamu ni ipi. Added to that, mwanaume kosa hela pia, halafu ndiyo utajua bila hata kuingia darasani, Mbuzi anaitwaje kwa lugha ya kifaransa au kichina, au zote.
 
Well said,Wenye akil finyu wanaona kutembea na kila mwanamke ndo sifa yey kidume kumbe anapotea.Na wanajua sana kupamba kuwa hamna kidume kama wew kumbe anakuona wakuja tu

Hayo ni mapungufu ya mwanadamu...cha muhimu ni kuwa responsible kwa familia kama boss alivyonena
 
Last edited by a moderator:
pesa, ankara, money, chapa, dola, kwanja,,mapene, ndo zaidi ya kuperform kwenye bed...
 
no sister,,,hata ungekuwa na pesa kiasi gani kama perfomance ktk bed ni 0 huyo mume hovyo ndo utakapojua mkeo anashida na hizo pesa au (msungunyungu) ndo first
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom