sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Yani mimi hii kwa mwanaume ni kitu cha mwisho kukiangalia baada ya vigezo vingine..
Vigezo hivyo vingine ni vipi sister?
Last edited by a moderator:
Yani mimi hii kwa mwanaume ni kitu cha mwisho kukiangalia baada ya vigezo vingine..
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
Weka picha!
Usidhani wanawake wanaendeshwa na nyege. Kwenye vitu vya muhimu katika mahusiano kwa wanawake hilo laweza kuwa la mwisho au karibu kabisa na la mwisho. Kujua hilo ni msingi utakaokusaidia katika mahusiano yako na wanawake.
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako
wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...
hiyo ndo first ....
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako
wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...
hiyo ndo first ....
Na sifa kubwa ya Mvulana ni kusoma kwa bidii na kuongoza darasani...............
vijana wa kiume tunajisahau kulko ata dada zetu apo umetaja mama..mkeo..watoto..dada ..vp baba yako aliyekuzaa tuache upuuuz baba sna umuhmu mkubwa mikumbo itawaponzakutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako
wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...
hiyo ndo first ....
Perfect!!!!...
Kuhonga tu ndo sifa kubwa aisee
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako
wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...
hiyo ndo first ....