Hii ndo sababu ya Wakristo kukataza talaka

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Marko 10

2Kisha baadhi ya Mafarisayo walimwendea na kumwuliza “Je, ni sahihi mtu kumtaliki mkewe?” Nao walimwuliza hivyo ili kumjaribu.

3Yesu akawajibu, “Musa aliwapa amri mfanye nini?”

4Wakasema, “Musa alimpa ruhusa mume kuandika hati ya kutangua ndoa na kisha kumtaliki mke wake.”

5Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia amri hii kwa sababu ninyi ni wakaidi na hamkutaka kuyapokea mafundisho ya Mungu. 6Lakini tangu mwanzo wa uumbaji wake Mungu ‘aliwaumba mwanaume na mwanamke’. 7‘Basi kwa sababu ya hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kujiunga na mkewe. 8Na hao wawili wataungana pamoja na kuwa mwili mmoja.’ Nao si wawili tena bali ni mwili mmoja. 9Kwa hiyo, mtu yeyote asitenganishe kile ambacho Mungu amekiunganisha pamoja.”

10Walipokuwa ndani ya nyumba ile kwa mara nyingine, wanafunzi wake wakamwuliza Yesu juu ya jambo hili. 11Naye akawaambia, “yeyote atakayemtaliki mke wake na kuoa mwanamke mwingine, anazini kinyume cha mkewe. 12Na ikiwa mke atamtaliki mumewe na kuolewa na mume mwingine, basi naye anafanya zinaa.”
 
Niliwaambia wanaume wa humu hawataki kuwa mwanamume ndio ataacha familia yake yaani wazazi na wote na kuambatana na familia ya mkewe umeona Sasa kaeni mkijidanganya .
 
Marko 10

2Kisha baadhi ya Mafarisayo walimwendea na kumwuliza “Je, ni sahihi mtu kumtaliki mkewe?” Nao walimwuliza hivyo ili kumjaribu.

3Yesu akawajibu, “Musa aliwapa amri mfanye nini?”

4Wakasema, “Musa alimpa ruhusa mume kuandika hati ya kutangua ndoa na kisha kumtaliki mke wake.”

5Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia amri hii kwa sababu ninyi ni wakaidi na hamkutaka kuyapokea mafundisho ya Mungu. 6Lakini tangu mwanzo wa uumbaji wake Mungu ‘aliwaumba mwanaume na mwanamke’. 7‘Basi kwa sababu ya hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, na kujiunga na mkewe. 8Na hao wawili wataungana pamoja na kuwa mwili mmoja.’ Nao si wawili tena bali ni mwili mmoja. 9Kwa hiyo, mtu yeyote asitenganishe kile ambacho Mungu amekiunganisha pamoja.”

10Walipokuwa ndani ya nyumba ile kwa mara nyingine, wanafunzi wake wakamwuliza Yesu juu ya jambo hili. 11Naye akawaambia, “yeyote atakayemtaliki mke wake na kuoa mwanamke mwingine, anazini kinyume cha mkewe. 12Na ikiwa mke atamtaliki mumewe na kuolewa na mume mwingine, basi naye anafanya zinaa.”
Haya ni maneno yaliyoaririwa na mwanadamu kwa muda wa miaka 500 kwahiyo yaweza kubadirika kulingana na wakati.
 
Ukifuatilia sana Biblia utapotea, wewe tumia akili yako. Biblia iliandikwa na watu na hukushirikishwa katika kutoa mawazo.
 
Back
Top Bottom