sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Nimefuatilia leo Rais akizungumza wakati wa kuwapisha viongozi aliowateua, kiukweli alipoanza kuzungumzia personal issue za watu ghafla nikajiwa na jibu la kwa nn huwa analala na file saa nyingine halali nimegundua kuwa yawezekana anatumia muda wa mchana vibaya.
Anatumia muda wa mchana kufuatilia personal issue halafu usiku ndo anafanya kazi, maana kujua mpaka ndoa ya mtumishi inayumba ilo nalo neno. Sisi kwetu Pwani alitakiwa kuelezea kinaubaga anajuaje mambo ya ndoa ya mke wangu walahi leo ningemuacha amalize kumuapisha ila akirudi lazima aelezee kabisa alijuaje habari hizo nyeti?
Sent using Jamii Forums mobile app