Hii ndo sababu ya Rais Magufuli kulala na file kitandani

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,010
8,355
Nimefuatilia leo Rais akizungumza wakati wa kuwapisha viongozi aliowateua, kiukweli alipoanza kuzungumzia personal issue za watu ghafla nikajiwa na jibu la kwa nn huwa analala na file saa nyingine halali nimegundua kuwa yawezekana anatumia muda wa mchana vibaya.

Anatumia muda wa mchana kufuatilia personal issue halafu usiku ndo anafanya kazi, maana kujua mpaka ndoa ya mtumishi inayumba ilo nalo neno. Sisi kwetu Pwani alitakiwa kuelezea kinaubaga anajuaje mambo ya ndoa ya mke wangu walahi leo ningemuacha amalize kumuapisha ila akirudi lazima aelezee kabisa alijuaje habari hizo nyeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda anapata taarifa kupitia udukuzi wa simu za mkononi .. Si alisema huwa anatrap simu za wateule wake "that's the government".
 
Vetting ikifanyika vema hayo yote lazima yafahamike, migogoro ya kifamilia, ndoa, madeni, marafiki, michepuko n.k

Kinachoshangaza ni aliyepewa faili lenye muhuri wa SIRI kuanza kuropoka yaliyopo humo ndani.
Hapo ndo shida kuuu ilipo

Imagine taswira ama heshima ya hao watumishi kwa staff wenzao ama ndugu zao nk kwa kweli heri baadhi ya matukio yakabaki sirini tu yasitajwe ktk TV jmn
 
We unafikiri Magufuli ana akili nzuri?

Alishawahi kumbaashia Mama Salma Kikwete kwenye hotuba live and direct!

Hahhahha..hyo ndogo..mie nilichoka ile dhahabu iliyoibwa wakenya wakairudisha .akaamua kuongea na Kenyata live..akawa anamsifia makamu wetu na jumbe uliotumwa Tz frm Kenya! kenyata anacheka balaa yaan anachombeza live.../akamwmbia umetuletea vifaa kweli kweli lakini na mm niko na makamu hapa sio haba kbs 🤣🤣jamani nilichoka! Hahhaa jamaa ni active sana yule😊😊
 
  • Thanks
Reactions: amu
He he he Kiranga unataka kusababisha vita kuu ya tatu ya dunia kuanzia Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la muhimu ni ukweli.

Linton Kwesi Johnson, mshairi wa reggae, aliimba.

"The eagle and the bear appear to live in fear of impending nuclear warfare.
But as a matter of fact, believe it ir not,plenty people don't care whether it's imminent or not.
Or who is first going to attack, or if the human race is going to survive or not.
For those who are aware.
Their lives are already becoming like a nightmare

And you can see it everywhere
The famine and the fear
The doubt and the drought
Desperation and despair
And you can see it all around
The massacres abound
Dead bodies all around
The atrocities abound
Missing persons can' t be found
Dictators get dethroned
New clowns are quickly found"

Kuna watu maisha yao ya kawaida ni World War Three tisha, hawajali.

Wanaweza kuona World War Three nipoa tu, malaika nao waishi kama mashetani.

Kama mbwai mbwai tu.

Kama Tabata Ubaya Ubaya.

Burudika na huo wimbo, sikikiza midundo na mashairi ya LKJ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dona Kantri
Screenshot_20200204-151847.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaonyesha jinsi gani mjengoni hakukaliki kwa maana nyingine usiku usingizi hauji
Nimefuatilia leo Rais akizungumza wakati wa kuwapisha viongozi aliowateua, kiukweli alipoanza kuzungumzia personal issue za watu ghafla nikajiwa na jibu la kwa nn huwa analala na file saa nyingine halali nimegundua kuwa yawezekana anatumia muda wa mchana vibaya.

Anatumia muda wa mchana kufuatilia personal issue halafu usiku ndo anafanya kazi, maana kujua mpaka ndoa ya mtumishi inayumba ilo nalo neno. Sisi kwetu Pwani alitakiwa kuelezea kinaubaga anajuaje mambo ya ndoa ya mke wangu walahi leo ningemuacha amalize kumuapisha ila akirudi lazima aelezee kabisa alijuaje habari hizo nyeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom