Hii ndo sababu kubwa ya kwanini ulevi hauwezi kuisha Rombo

Wewe acha ku paint Rombo eti hawafanyi kazi wanakunywa tu, wanaokunywa sio wote na watu wa Rombo ni kati ya wafanyakazi wakubwa nchi hii, hii inajithibitisha Rombo na miji amabayo Warombo wapo..
Nenda Rombo watu walivyojenga nyumba, kusomesha watoto, kujenga madarasa na zahanati alafu unasema hawafanyi kazi??
Kuanzia Arusha, Morogoro, Dar na kwingineko kuna mitaa inayoitwa Rombo, kutokana na influence ya watu wa Rombo sehemu hizo, unadai Rombo hawafanyi kazi wanakunywa tu


Wanakunywa pombe ndio ila sio wavivu

Halafu wewe ndio ulianzisha hii thread?

Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro
Hakuna neno acha waseme. ..MUELIMISHE MWENYE HEKIMA ILI AZIDI KUWA NA HEKIMA. ..
tumesikia na tutalifanyia kazi. ..Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote
 
Aisee vijana wa mikoani mnatuaibisha sana,mnakuwa vinyaka mpaka papuchi zinapelekwa Kenya kufuata madushe.
Aibu sana.Mnatuzalishia mamluki.
 
Wachaga kwa ujumla ni washamba sana
Kubwia pombe na kujinyea kwao ni jambo la kusifiwa sana.
 
Back
Top Bottom