hahaha huyo ni mkushi rangi ya ngozi ni balaa.Yote tisa, kumi we Jamaa una asili ya Sudan?
huo utaratibu nimeufanya sana hasa nyakat za lasiri nikowa na kiutoleo jipya. View attachment 817798
Ni hatarihahaha huyo ni mkushi rangi ya ngozi ni balaa.
jkt ya makaratasi ?Hizo tumefanya sana tukiwa jkt kule miaka hiyo
Huo mkono au vidoleYote tisa, kumi we Jamaa una asili ya Sudan?
Hata meno nayo utakuta ya njano na macho mekunduDuh mshkaji mpakq kucha nyeusi hawa ndio unakuta ana nyayo nyeusi cheupe meno na machob
MmhHata meno nayo utakuta ya njano na macho mekundu
Muhindi[emoji7] [emoji7]