Hii ndo motisha pekee kwa walimu

Hii ndo motisha pekee kwa walimu

Write your reply... Mamlaka husika yenyewe suala la elimu wamepuuzia,Mimi mwenyewe mwalimu ila nimefuta akilini kwamba kazi ya ualimu itanikomboa ninachofanya kwa sasa ni kuchukua mikopo na kuwekeza tu,hatima nitaona baadaye uwekezaji wangu ukisimama au kuwa na tija.Nina fuga kisasa mifugo aina zote na kulima sana ili niweze piga hatua.
 
Write your reply... Mamlaka husika yenyewe suala la elimu wamepuuzia,Mimi mwenyewe mwalimu ila nimefuta akilini kwamba kazi ya ualimu itanikomboa ninachofanya kwa sasa ni kuchukua mikopo na kuwekeza tu,hatima nitaona baadaye uwekezaji wangu ukisimama au kuwa na tija.Nina fuga kisasa mifugo aina zote na kulima sana ili niweze piga hatua.
Hongera mkuu ,umechagua fungu lililo jema
 
Utakuwa unaogelea walimu wa private may be,walimu wa serikalini wanabakiwa na 2/3 ya mshahara baada ya makato yote.
Mwalimu wa primary umemtenga.Wengi wamekopa mpaka makato ya baadhi ya mikopo iko pending,inasubiri wengine wamalize wao waanze.Hiyo laki tatu itatoka wapi?
 
Write your reply...
umeongea ukweli niliona juz kilaza mmoja arumeru eti ataitisha rokoll kuhesabu waalimu,Mara atamfukuza kaz najiuliz kazi ya afisa elimu nnn,tume ya utumishi wa waalimu nnn? vilaza wengine shida
Naomba mkuu iandikie hiyo kitu thread tuone kama unachoongea kina maana.


Andikika
 
Maswali ya kijinga kama haya huwa sijibu
Maswali ya kijinga kama haya huwa sijibu
Are you mad?Unataka mawazo yako yafanane na kila mmoja?Unachopaswa kukielewa ni kwamba katika maisha usiweke suala lolote katika wingi.Wewe liweke katika umoja tu basi.Labda nikuulize anajua kuwa kuna walimu ambao wamepata promotion double double na wengine hawajapata kabisa?Je,unajua kuna walimu ambao hawataki kusimamia mitihani wala kazi maalumu yoyote inayokuwa imejitokeza kutokana na kuridhishwa na vipato vya shughuli zao?Je,unajua kuna walimu ambao hawana mikopo yoyote ile?Sasa kama uliona swali langu ni la kipuuzi,wewe utakuwa ni popoma ulietukuka.Unaetaka reply za wadau zifanane na mawazo yako.Remember hii ni Jamiiforum!
 
Punguzeni umbea, mafanikio hayana formula nyie mburula. Mwalimu ana nafasi kubwa sana ya kuwa na maendeleo ya kiuchumi kuliko watumishi wengine wa Umma. Ana muda wa kutosha kutokana na kuwa likizo mara 4 kwa mwaka pindi shule zifungwapo Machi, Juni, Septemba na Desemba.
Ana off za kutosha kwakuwa sio muda woote ana vipindi. Time is Gold na kuna walimu wengi tu wametusua kimaisha kwa kubadilisha hizo Muda kuwa Utajiri. Inshort hakuna Mwajiriwa awaye yeyote mwenye afadhali they are Hand to Mouth Earners itisha orodha ya matajiri milioni 1 wa dunia huwez kukuta mwajiriwa humo. Never ever.....Over

Stori za vijiweni hizi.

Zinapingana na uhalisia wa huku mtasni.
 
Umeongea maneno mazito na muhimu sana, Nakuombea kwa Mungu baba ili siku moja baba Jesca aone Uzi huu uenda akajirudi akakumbuka aliko toka
 
Back
Top Bottom