Hii ndo motisha pekee kwa walimu

Hii ndo motisha pekee kwa walimu

H
Usinitishe ,sijawahi kutishwa na watu wapuuzi na waoga kama wewe. "eti uwe na heshima kwa wakubwa zako" , nikuheshimu wewe kama nani?
Mimi nimeainisha changamoto moja tu inayowakabili walimu , wewe umekuja juu na kupanic. Badala ya kujibu changamoto hii umeanza kutoa lugha ya dhalau na vitisho. Aibu sana . Halafu eti unajiita wewe ni mkubwa. Watu kama wewe sina haja ya kukujibu kwa hoja nitakujibu kwa kejeli ,kama ulivyofanya wewe.
Hivi mjinga na mpuuzi ni nani,kati yangu Mimi na wewe mtoa mada?Ukweli ni kwamba,kupanga ni kuchagua.Sasa unapojadili kitu lazima uwe neutral na kukubali hoja za wachangiaji.Ukisoma reply zangu utakuwa umenielewa vyema.Ila kama utatoa thread ili watu wareply kwa mtazamo wako.Ur real pathetic fool.Think big even thrice,if itsn't twice.Siwezi kubishana sana.Ukitoa mada,usiwe unatafuta jibu kama la mtazamo wako.Hapa sio Facebook.Thats why u meet great thinkers.Pangusa tongotongo new member.Welcome Once again!
 
Eti umeainisha changamoto moja.Ulitaka uziainishe ngapi kwa mfano?Na je,we ni mwalimu?
 
Kama yule mteule anayesema mwalimu anatakiwa ndani ya mwezi mmoja amalize syllabus 3
 
Mkuu uko sahihi kwa upande mmoja, lkn ujue walimu wengi wakiacha kipi kina fuata?
Huoni shule zita fungwa?
Ndo hapo kazi ya ualimu itaheshimika na umuhimu wao utajulikana ila ni wachache wanaoweza kuacha kiasi kwamba effect haiwezi kuonekana,
 
Ndo hapo kazi ya ualimu itaheshimika na umuhimu wao utajulikana ila ni wachache wanaoweza kuacha kiasi kwamba effect haiwezi kuonekana,
Hahaaa , kimsingi watawala huwa wanasoma upepo, mkikaa kimya nao wanakaa kimya lkn mkiliamsha heshima inakuwepo.
Na walumu ni waoga sana
 
Hahaaa , kimsingi watawala huwa wanasoma upepo, mkikaa kimya nao wanakaa kimya lkn mkiliamsha heshima inakuwepo.
Na walumu ni waoga sana
Mkuu uwoga ni watz asilimia kubwa sio waalimu tu,note: mi sio mwalimu na sitarajii kuwa mwalimu lakin nawaheshimu sana
 
ww
Punguzeni umbea, mafanikio hayana formula nyie mburula. Mwalimu ana nafasi kubwa sana ya kuwa na maendeleo ya kiuchumi kuliko watumishi wengine wa Umma. Ana muda wa kutosha kutokana na kuwa likizo mara 4 kwa mwaka pindi shule zifungwapo Machi, Juni, Septemba na Desemba.
Ana off za kutosha kwakuwa sio muda woote ana vipindi. Time is Gold na kuna walimu wengi tu wametusua kimaisha kwa kubadilisha hizo Muda kuwa Utajiri. Inshort hakuna Mwajiriwa awaye yeyote mwenye afadhali they are Hand to Mouth Earners itisha orodha ya matajiri milioni 1 wa dunia huwez kukuta mwajiriwa humo. Never ever.....Over
Ww umekariri Awamu hii likizo zote wanaenda kazin na ukiitaji sfr eti shule zimefungwa mpk kibari maalum
 
Wakati Fulani nilikuwa nafundisha. Nikawa nasikia walimu wenzangu wanasema teaching allowances. Nilipofuatilia nikagundua maana yake ni kuwamega mabinti wadogo. Bikila za kutosha na kuwafundisha maujanja. Ukweli tunaoa wake za walimu.
 
Wakati Fulani nilikuwa nafundisha. Nikawa nasikia walimu wenzangu wanasema teaching allowances. Nilipofuatilia nikagundua maana yake ni kuwamega mabinti wadogo. Bikila za kutosha na kuwafundisha maujanja. Ukweli tunaoa wake za walimu.
 
Uko sawa.
Kumbuka adui wa mtu ni mtu mwenyewe, nyie ndio mnaojenga Taifa ila yasemekana wenyewe hamko organised..ie ni rahisi kuwagawa.Kuna mambo mengi yanahusu kada yenu ila ni kama yamekosa wa kuyasemea na kusimamia huku mkisubiri tu baraka toka juu.

Sina hakika na yale makato ya chama chenu kuwa mnanufaika, nasikia sasa mna Bank..vipi mnanufaika nayo? Mazingira ya kazi je?

#Mtazamo
Huo ndio ukweli wenywe.
 
Walimu wa tanzania wana motisha moja tu, nayo ni kwenda kusimamia mitihani ya taifa ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka. Mwalimu anaweza kukaa hata miaka saba hajapata nafasi hii maana yake hana motisha kwa mda wa miaka saba.

Baada ya ongezeko la 15% la makato ya bodi ya mikopo kuna baadhi ya walimu wanapokea mshahara chini kabisa ya laki tatu.

Mazingira magumu ya kazi huko vijijini yamewafanya baadhi yao kupoteza kabisa matumaini. Wengine wamekuwa walevi wa pombe za kienyeji . Huko kwenye vilabu vya pombe walimu hao wakishalewa huanza kuongea kiingereza na kuwatambia walevi wenzao kuwa wao ni wasomi wa vyuo vikuu.

Kufikili kuwa tunaweza kuboresha hali ya elimu nchini bila kuwajali walimu ni kujidanganya. Kwanza kabisa wanafunzi watawadhalau walimu kutokana na hali zao duni za maisha. Wanafunzi watajenga dhana kuwa elimu haiwezi kumkomboa mtu kutoka katika lindi la umasikini hasa wakiwatazama walimu wao.

Siku hizi huwezi hata kujua mamlaka ya nidhamu kwa walimu ni ipi. Kila kiongozi amegeuka kuwa mamlaka ya nidhamu. Imefika mahali hata wanasiasa wasio na taaluma yoyote leo wanakemea walimu na kuwadhalilisha.

Taifa huandaliwa shuleni. Taifa la watu makini haliwezi kupuuza elimu. Watu wanaopuuza elimu hutawaliwa na watu wenye elimu. Tutafakari.
Na nyie ndio mpo wengi ikifika kipindi cha uchaguzi mnapewa T shirt na kofia mnawarudisha... Tukiandamana mnajificha, tukiwatetea mnatung'ong'a mnasema mnaunga mkono...

PAMBANENI NA HALI ZENU ACHENI KULALAMIKA LALAMIKA...
 
Duh ndio mana mnaishia kupiga miti wadogo zetu, kwani kazi nyengine hakuna?
 
Mkuu uko sahihi kwa upande mmoja, lkn ujue walimu wengi wakiacha kipi kina fuata?
Huoni shule zita fungwa?
Nàgufuli analipa kisasi kwa watumishi wa umma uzuri ni kwamba washajua kwamba analipa kisasi na wao hawamkubali hata chembe japo kimya kimya
 
Mkuu uko sahihi kwa upande mmoja, lkn ujue walimu wengi wakiacha kipi kina fuata?
Huoni shule zita fungwa?
Zitafungwaje wakati walimu wamejaa mitaani bila ajira?
 
Na nyie ndio mpo wengi ikifika kipindi cha uchaguzi mnapewa T shirt na kofia mnawarudisha... Tukiandamana mnajificha, tukiwatetea mnatung'ong'a mnasema mnaunga mkono...

PAMBANENI NA HALI ZENU ACHENI KULALAMIKA LALAMIKA...
hiyo ni mawazo yako tu
 
Back
Top Bottom