Hii ndo motisha pekee kwa walimu

Hii ndo motisha pekee kwa walimu

Inasikitisha sana... na serikali inawatumia haswa walimu, ila ndiyo hivyo tena...


Cc: mahondaw
 
Bado, motisha hiyo uliyoiainisha ,wakati ukifika motisha hiyo haiwakuti wote.

Binafsi niliamini hivyo , lkn juzi nilimuuliza mwalimu mmoja Wa huko Tanga ,akaniambia waliosimamia mtihani wanasema mtihani ulikuwa rahisi.

Nikamuuliza kwani yy hakusimamia? Akajibu kaambiwa yy alisimamia mwaka Jana hivyo hii ni zamu ya wengine.

Niliudhika saana utadhani ni mm, sikupendezwa haswaa, ndo maana mamlaka za usimamizi zinapohimiza uwajibikaji huambatane na uwajibikaji Wa motisha unaosimamiwa na viongozi.
Hiyo ndio hali halisi mkuu. Walimu wa Tanzania hawana matumaini kabisa.
 
Kina kitu moja miaka flani ikikuwa inaitwa TA, sijui bado ipo hiyo kitu!!!
 
Write your reply...
umeongea ukweli niliona juz kilaza mmoja arumeru eti ataitisha rokoll kuhesabu waalimu,Mara atamfukuza kaz najiuliz kazi ya afisa elimu nnn,tume ya utumishi wa waalimu nnn? vilaza wengine shida
Yote haya ni kwa sababu chama cha walimu Tanzania ni cha kikuda mno!
 
Mkuu uko sahihi kwa upande mmoja, lkn ujue walimu wengi wakiacha kipi kina fuata?
Huoni shule zita fungwa?
Ipo hivi shule hazi wezi fungwa kama mamlaka zitachukua mazuri yaliyowachwa awamu iliyopita... Mwaka 2015 waliajiliwa walim wasiopungua 45 elfu lakin uhaba wa walimu haukuisha jpo ulipungua. Njia pekee kuzidi kuajir kwa kiwngo kikubwa ili shule zisifungwe cz elimu ya kujitambua inaongzeka kundikubwa linaacha pia
 
Punguzeni umbea, mafanikio hayana formula nyie mburula. Mwalimu ana nafasi kubwa sana ya kuwa na maendeleo ya kiuchumi kuliko watumishi wengine wa Umma. Ana muda wa kutosha kutokana na kuwa likizo mara 4 kwa mwaka pindi shule zifungwapo Machi, Juni, Septemba na Desemba.
Ana off za kutosha kwakuwa sio muda woote ana vipindi. Time is Gold na kuna walimu wengi tu wametusua kimaisha kwa kubadilisha hizo Muda kuwa Utajiri. Inshort hakuna Mwajiriwa awaye yeyote mwenye afadhali they are Hand to Mouth Earners itisha orodha ya matajiri milioni 1 wa dunia huwez kukuta mwajiriwa humo. Never ever.....Over
 
Jamani umesahau " shikamoo mwalimu" Shuleni kuna wanafunzi 1000!! Akaa kwa sku hazipungui shikamoo 300!!!
 
Punguzeni umbea, mafanikio hayana formula nyie mburula. Mwalimu ana nafasi kubwa sana ya kuwa na maendeleo ya kiuchumi kuliko watumishi wengine wa Umma. Ana muda wa kutosha kutokana na kuwa likizo mara 4 kwa mwaka pindi shule zifungwapo Machi, Juni, Septemba na Desemba.
Ana off za kutosha kwakuwa sio muda woote ana vipindi. Time is Gold na kuna walimu wengi tu wametusua kimaisha kwa kubadilisha hizo Muda kuwa Utajiri. Inshort hakuna Mwajiriwa awaye yeyote mwenye afadhali they are Hand to Mouth Earners itisha orodha ya matajiri milioni 1 wa dunia huwez kukuta mwajiriwa humo. Never ever.....Over
Noted,wakiwa nyuma ya keyboard, hawajui ni kipi cha kutype.Pathetic fools!
 
JF bhana kila "MTU" alikuwa Mwalimu akaacha.Nami nasema acheni tu.Kama zipo fursa zichangamkieni.
 
Jamii haimtazami mwalimu kwa jicho la mjenzi wa jamii.

Jamii hiihii inanufaika zaid na kazi inayofanywa na mwalimu kuliko mwalimu mwenyewe anavyonufaika.

Jamii haioni umuhimu wa kumheshimu mwalimu ili kumjengea dhana ya kuaminika na kuheshimiwa na wanafunzi kama dhana muhimu sana zinazoathiri kisaikolojia kuelewa kwa mwanafunzi darasana.

Jamii hii hii inageuka mtoa hukumu kwa mwalimu pindi mwanafunzi anaposhindwa kufaulu kwa matatizo ambayo kwa wazi yametokana na jamii yenyewe.

Tunapowasema vibaya walimu mbele ya watoto wetu tutegemee watoto watawaamini??

Tunasipowaheshimu walimu mbele ya watoto wetu tutegemee watoto watakuwa na nidhamu kwa walimu?? Tunafahamu umuhimu wa nidhanu katika kujifunza??

Tunapowanyima motisha waalimu wetu tutegemee vipi bidii yao kwa watoto wao huku changamoto kibao zinawakabili kwa kukosa motisha??

Si kwamba changamoto za walimu na mfumo mzima wa elimu hazifahamiki bali tuna hulka ya kutatua matatizo KIRAHISI kuliko KIUSAHIHI.
Kuanzia raisi,waziri mkuu na viongozi wakubwa wa kiserikali ni waalimu kwa taaluma na uzoefu sijui kwann hawataki kunjengea hadhi mwalimu kama nguvukazi kuu katika elimu ambayo ni chombo kikuu cha kuleta maendeleo katika jamii.
Serikali, jamii na walimu wenyewe wanapaswa kushiriki kikamilifu kwa kumjenga mwalimu aheshimike na ajengewe mazingira safi ya utendaji wa kazi kwa sababu yeye ni injini ya elimu.
 
Najivunia kuwa mwalimu,Hata kama Jamii itanitapikia kichwani
Nafahamu fika,wanaonitapikia,Hawajui na hawana elimu,ni sawa na Mzazi mbele ya mwana mchanga

Nawahurumia saana,wale wanaonidharau kwa kuwa mimi ni Mwalimu

Lau kama si Mola kisha mimi Mwalimu,Dunia isingekuwa na watu wenye wajuzi

Mimi ni mzazi kwako,hata kama utanyea kiganja changu
Mwalimu,usihuzunike wala kusikitika,Ww ni wa kupigiwa mfano sana mbele ya wana maendeleo

ndio furaha yangu
 
Punguzeni umbea, mafanikio hayana formula nyie mburula. Mwalimu ana nafasi kubwa sana ya kuwa na maendeleo ya kiuchumi kuliko watumishi wengine wa Umma. Ana muda wa kutosha kutokana na kuwa likizo mara 4 kwa mwaka pindi shule zifungwapo Machi, Juni, Septemba na Desemba.
Ana off za kutosha kwakuwa sio muda woote ana vipindi. Time is Gold na kuna walimu wengi tu wametusua kimaisha kwa kubadilisha hizo Muda kuwa Utajiri. Inshort hakuna Mwajiriwa awaye yeyote mwenye afadhali they are Hand to Mouth Earners itisha orodha ya matajiri milioni 1 wa dunia huwez kukuta mwajiriwa humo. Never ever.....Over
hujui unachokisema , umejaa ushabiki na kiburi cha uzima .Aibu sana
 
Noted,wakiwa nyuma ya keyboard, hawajui ni kipi cha kutype.Pathetic fools!
Watu kama wewe ndo huwa mnatukana walimu, mkidhani kuwa matusi yenu kwa walimu yatasadia kuboresha elimu. Aibu sana.
 
Back
Top Bottom