Hii ndo hali halisi leo Arusha

Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kila unapojisikia....au kila hirizi inapopungua nguvu!!?
 
Si bure, kuna kitu mwaka huu. Wanaenda kukaa kikao nini wam-fix Magu!!?.
 
Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Tanga nauli ni mia moja - alafu wew utakuwa mvivu wa kazi.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.
Sasa wewe inakuuma nini jambo lisilokuhusu!?
Watu mnashangaza sana, safari wanasafiri wao, pesa wanazotumia ni zao, kama ni matambiko ni yao...wewe kinachokuuma ni nini? Au unaathirika vipi na hao watu kwenda kwao?
Pilipili anakula mwingine wewe unasugua mdomo..maajabu haya!
 
Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kweli mkuu ila unaweza kwenda baada ya miaka 3 wenzio kila mwisho WA mwaka wanaenda kuhesabiwa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida

Uzuri wa Arusha hata Noah zitapiga mzigo tu haina noma
 
Sasa hapo napo mpaka wapande bus, sihata kwa boda boda hapa unafika tu
 
Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Ni kwa ajili ya siku kuu ....ndugu karibu wote wanakutana. ..u batizo. .kubarikiwa. .harusi yaani ni function zote zenye furaha na upendo.
 
NENO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…