Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Wanatafuta mwaka mzima alafu desemba wanakutana kwa ajili ya ibada ya pamoja sasa wewe si unaenda Tanga kila unapojisikia kwa kuwa huna kazi ya kufanya umekalia tu mapenzi
Wewe kwenu ndo kuna wachawi ukienda hata na Boxer Bm 150 kesho yake unaamkia njiapanda ukiwa uchi akati ulilala ndani kitandani,sasa ukienda na Passo or Ist si watakuuwa kabisa?usijichanganye ukaenda na Prado wanauwa mpaka mkeo muachie watoto uyatima.wengi mnaoponda humu kwenda kwenu mnaogopa wachawi ila mnatamani kuwa kama wachagha but mmeshachelewa labda vizazi vyenu vya saba au nane ndo watathubutu japo yahitajika elimu kweli kweli.
Niko Rombo huku ndo watu wanachinja jioni hii nyama zimeisha.... khaa... unanunua bia kama unaomba! Una order mpaka uje uletewe sio leo! Hii sasa kero... nmeshangaa sana watu wanalalamika maisha magumu wakati watu wanatumia tu huku
Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.