Teh poleWachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Wachagga wanaenda kwao mara kwa mara ila wanaenda kwa wengi zaidi wakati wa misiba, sherehe, na zaidi saaaaaana Christmas and Happy new year 2017Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Hata gazeti la Mwananchi Leo limeripoti kuwa foleni Ni kubwa Sana Na bar zimefurika hasa zile zenye nyama chomaKwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
Kwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
Watumie bodaboda tu, Chuga to Moshi Karibu sana.Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida