Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,275
JIRANI: Ndugu yangu mbona ndoa yako
imetulia hakuna matatizo, mi kwangu ni
kasheshe kila siku?
DEVI: Hakuna siri, tumegawana majukumu. Mke
wangu anatoa maamuzi kuhusu mambo
madogomadogo na mimi nashughulika na
mambo mazitomazito.
JIRANI: Sijakupata
DEVI: Mambo kama vile tujenge wapi, mshara
utatumika vipi, tuweke benki shilingi ngapi,
tuwe na watoto wangapi haya ni mambo
madogomadogo yanashughulikiwa na mke
wangu, mimi kazi yangu ni kuyakubali tu.
JAMAA: Na makubwa ni yepi?
DEVI: Mambo makubwa ni kwa mfano je,
tuingie vitani na Malawi? Marekani iipige Syria?
Je tujitoe katika muungano wa Afrika
Mashariki?, Je tutumie njia gani kumaliza
matatizo ya uharibifu wa ozone layer? hayo
ndio mambo ninayoshughulikia na
hatuingiliani hivyo ndoa kwa kweli imekuwa na
amani kubwa.