Hii ndo EPL Gurdiola

EPL timu zake zote zinafanana kwa ukilaza....nikupe mfano...mm niilikuwa nasoma tuition kwa iden nikifanya mtihani huko wa math napataga 40 mpaka 35 ..na nafasi yangu ni mtu wa 50 huko,lakin nikiwa darasani shulen mm ndo nawaongoza napiga 70 and 80....sasa mm ni mkali kwa vilaza wenzangu huko....hvyo hyo epl woote vilaza so wanashindana wenyewe wakija na majembe kama real,barca,PSG,inter, bayan lazima wakae na hawafiki popote.....chukua timu ya mwisho hispania ukiitia epl wallah lazima ishike 4 bora
Unajuwa kama mpira umeanza kuangalia leo ndio unaweza kuongea kama wewe unajuwa Madrid alisubiri miaka 30 kuchukua tena CL Barca miaka hiyo ndio kabisa wameanza miaka ya 2000. Hapa tunaongelea league bora sio team bora wewe mwenyewe kila wiki unatolea macho EPL sidhani kama unatizama mechi villa real na osasuna hebu kuweni wakweli. Epl inapendwa duniani sababu ni league ya ushindani.
 
ligi bora spain hawa wengine ligi inakua ngumu sababu viwango vyao vinafanana. madrid na barca hizi ni timu za dunia
Team bora au league bora? Na uhakika wewe kila wiki macho kuangalia EPL. Mimi najuwa kitu kizuri kinapendwa na wengi sasa huwezi kuleta ushindani kipi kinauzika kwa watu Epl ndio league ya watu Barca na Madrid team bora kwa wakati huu ila hata wao walihangaika toka miaka ya 70 mpaka mwisho wa 90 na pia mfumo wao unawapa pesa nyingi kuliko team zingine ndio maana unakuta team kubwa kama Athletico kipesa wako vibaya valencia ndio kabisa madeni tupu. Mpira ni biashara na burudani.
 
Mpaka sasa mtu anayeicost man city ni bravo tu anawakatisha wenzake morali ya kucheza anafungwa goli za kizembe mno
 
Anatakiwa kuwaheshimu akina Wenger na kama si kubebwa basi ajue hata hizo club za Spain hazina uwezo wa kuwa zinachukua uefa cup


Barcelona ilibebwa vipi kwenye zile fainali 2 ilipoifunga Manchester united?
 
Pep wakati anakuja engalnd alisema kuwa anawaza tu ni jinsi gani atapata tabu kuendesha gari katika jiji la manchester nasii kingine ...hasa najua saizi akili yake itakuwa immekaa sawa
Na mpaka tukafike may mwakani atakuwa ameisoma namba ..
Hahahaaaaa, amuulize mwenzake juande Ramos spurs ilivyotaka kushuka daraja wakati yuko sevilla alitesa saana
 
Epl tushawazoea Mkuu hawana chao EUROPA/UCL ni wasindikizaji wazuri tu..Man city kwa mbali anajitahidi lkn by end of the day wanaambulia kipigo tu.....
Timu za Spain hasa barca uwa wanabebwa UCL , huwezi kushindana na MTU anayebebwa , eg Chelsea vs barca , ile gemu drogba aliyemtukana mwamuzi
 
Hamna kitu ile ligi imejaa misifa tu...totenham na utata wake amekutana na monaco CL ni vipigo nje ndani hoi taabani
Kwani Monaco ni timu ndogo ? Unakumbuka monaco ilifika fainali ya UCl 2004 under didier deschamp, wakafungwa na Porto ya morihno, huku morientes, prso, ibala, adebayor, nonda, giully, rhothen, cisse, etc
 
LIG YA EPL ndio baba lao lg b0ra ya kijanja ya ushindani

hawo vlaza akina barca na madrid wanabebwa tu
 
Back
Top Bottom