Hii ndo Bongo

Hii ndo Bongo

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Wamama wawili walijikuta magari yao yamegongana. Wakashuka kwenye gari wakaanza kutoleana kashfa, hasa yule aliyekuwa na vogue akamtukana sana mwenye Kivitz, japokuwa ndie aliyekuwa na makosa. Mwenye Kivitz akampigia mumewe simu.
MAMAKIVITZ: Mume wangu ninatatizo
MUME: Jamani niko bizy mkutanoni hebu lisov mwenyewe MWENYE VOGUE akasema anampigia boy friend wake ndiye atakae ongea.
MWENYE VOGUE:Baby kuna mjinga mmoja kagonga gari uliloninunulia, please njoo uongee nae she is so stupid, nahisi na mume wake stupid kama yeye. BOYFRIEND: Baby I am coming, unajua watu wa jiji hili wamechanganyikiwa ngoja nije nifunze adabu. Muda si mrefu jamaa akaja, kumbe alikuwa ndiye mume wa MAMAKIVTZ......kila mtu amalizie sinema hii
 
Michepuko inavyojua kufaidi mali za familia za watu bila huruma!! Mwisho wa siku unakuwa umepoteza fedha yako na UKIMWI umeupata maana yake ni kwamba ulichokitafuta kimekuletea balaaa!!!

Hapo mama Vogue aligeuka mdogo kama piriton hahahaaa
 
Thread hii ni nzuri yenye ukweli uliojaa ucheshi na aina ya udaku. Paw tafadhali,
hebu ihamishie Jukwaa la jokes+Udaku+Gossip.
 
Last edited by a moderator:
Hii story ni ya kweli ilitokea maeneo ya chang.'ombe na mke alikuwa na Rav 4 alafu mchepuko ulikuwa na Prado mke alitaka waongee na bibie wayamalize bibie akakataa kushuka hata kwenye gari akadai anamsubiri bby wake aje lol kumbe bby ndio mume wa Rav 4 ki ukweli yule mama alipiga magoti tu kwenye lami akishukuru kwa sauti na kushuudia mungu ametenda kwani amemuonyesha ilijuwa issue but bibie ilibidi atafute njia na kuacha gari eneo la ajali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom