Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho.
Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi kuchangia joto kuwa kali zaidi kwa siku hiyo. Madereva teksi nao wakiwa bize wanapambana kupenyeza huku na kule na teksi zao wakijaribu kutafuta wateja au wakipiga honi katika kuwashtua watu wawapishe wawawaishe abiria. Kila mtu akiwa kwenye pilikapilika za hapa na pale katika...
Very stupid.
Majitu mauaji na majizi ya kira yanapongezana.
Haya majitu yote, hakuna hata moja hapo lililochaguliwa na wananchi. Majitu maovu yanampongeza yanayeamini kuwa ameyazidi kwa uovu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.