Hii ndiyo sababu ya ukimya wa CDF MKUNDA

Binafsi nimeanza kupata hisia tofauti juu ya ukimya wa mkuu wa majeshi nchini afande, chief of defense forces Jacob john MKUNDA licha ya clip yake ya jana.

Wote tunajua namna CDF alivyokua akirubuniwa na Kikwete/Samia na genge lao, kwa kifupi alikua mmoja wao!!. Hivyo kuelekea uchaguzi wa tarehe 29 October, binafsi nafikiri walikua hawana wasiwasi wowote juu ya Hali ya usalama nchini , na hata tetesi za maandamano zilipoanza bado waliamini Watanzania hawatokua na ujasiri wa kuandamana!!..Lakini ikiwa imebaki mwezi mmoja kuelekea uchaguzi , alijitokeza afande Captain Tesha, ambae taarifa ya msimamo wake wakuunga mkono wito wa wananchi kuandamana nikama iliwastua kidogo Samia, Kikwete na Genge lao, sababu nidhahiri walipata pia Intel zaidi kwamba jeshi au sehemu ya vikosi vya jeshi pia inamsimamo sawa na ule wa captain Tesha..

Hivyo ccm gang kwa pamoja na CDF mkunda ambae naamini alikua bado ni mwenzao ,nafikiri walikubaliana waagize mercenaries kadhaa kua standby na kuongeza nguvu ikiwa sehemu ndogo ya jeshi iliokua inawaunga mkono ingezidiwa,Just in Incase surprise yeyote toka kwa vikosi visokua upande wao ingetokea. Na ili kuhakikisha hata hivyo vikosi ambavyo waliamini vinaweza kuasi havileti usumbufu , CDF MKUNDA aliamuru wawekwe quarantine (a grave mistake)ili wasije kufanya uasi na kuacha vikosi vichache tu kwa ajili ya lolote dogo .
Hapa ikumbukwe walifanya yote haya kwa Imani wananchi hatutoandamana hivyo hawakuona haja ya kua na mercenaries maelfu!.

Lakini the unexpected occurred, katika Hali isiyotarajiwa malaika wa ujasiri aliwaingia Watanzania nakuamua kuandamana. Ikumbukwe wakati huohuo sisi TUMEANZA maandamano , wakuu wote wa vyombo vya usalama wakiongozwa na CDF mkunda walielekea Dodoma ambako Samia alikua anaenda kupiga kura na kukamilisha uchafuzi!!.

Sasa taarifa za maandamano zilipowafikia , hapo ndipo msuguano wa kimaamuzi ya Kipi kifanyike ulipoanzia ,kwa ninavyoamini Mimi. Naamini Police chini ya Muliro na Mafwele wao walitoa oder ya moja kwa moja polisi ku engage na kuwazima waandanaji kwa matumizi ya nguvu kama kawaida yao., ila wakiwa katika hayo Mkunda akasema basi jeshi lazima litimize wajibu wake wa kuwalinda raia kama kawaida pasipo kuingilia kazi ya polisi , ili walau asionekane amenunulika.

Sasa nafikiri maandamano yalivyoanza kupamba moto na kushika kasi nchi nzima, ndipo Genge la ccm lilihitaji kuyazima kwa nguvu , hivyo wakaamua kumuomba mkunda atoe jeshi barabarani wao washughulike na waandamanaji ndipo mkunda akagoma, na immediately wakamuweka under arrest since amezungukwa na timu nzima ya chawa wa Samia. Uku wakisubiri kuona kama POLISI watawazidi nguvu waandamanaji nakurestore peace!!.
Lakini walipoona polisi wote wamezidiwa ,ndipo walipoamua ku unleash kile kikosi cha wale mercenaries kutoka UG, katikaa maeneo yaliyokua na maandamano makali.
Ambao nao pia hawakufua dafu kivile sababu ya uwepo wa JWTZ wachache barabarani!!..Sasa basi , huenda CDF aliitoa Ile taarifa akiwa katika shinikizo la Mafwele,mombo na wanausalama wengine chawa wa mama ili kujaribu kuwarudisha nyuma waandamanaji , lakini pia kutoa uhalali wa Hilo jeshi la Uganda la Samia kuanza kufanya mauaji kwa waandamanaji kupitia SARE za JWTZ kutoka kwa Angela kizigha!!..
WANAJESHI wetu wako quarantine, hawana silaha na ndio maana tumepata ugumu wa kuwapa nchi, na yote nikutokana na makosa ya kiutawala ya CDF Mkunda!!

Vipi maono yenu wakuu???

Niko na wewe kabisa. Mwamba Yuko compromised. Hata hile press tu.
 
Kwa mambo yalivyo ground, watu hawarudi nyuma, polisi hawatoshi na wanajeshi wako dilema, Hakuna namna ya kumuapisha kwa sasa inchi itaingia kwenye machafuko makuu , wakubali yaishe , wapewe safe path huko wanapottana kwenda mambo mengine yaendelee . Binafsi sioni Samia akiapishwa kuwa Raisi
 
Binafsi nimeanza kupata hisia tofauti juu ya ukimya wa mkuu wa majeshi nchini afande, chief of defense forces Jacob john MKUNDA licha ya clip yake ya jana.

Wote tunajua namna CDF alivyokua akirubuniwa na Kikwete/Samia na genge lao, kwa kifupi alikua mmoja wao!!. Hivyo kuelekea uchaguzi wa tarehe 29 October, binafsi nafikiri walikua hawana wasiwasi wowote juu ya Hali ya usalama nchini , na hata tetesi za maandamano zilipoanza bado waliamini Watanzania hawatokua na ujasiri wa kuandamana!!..Lakini ikiwa imebaki mwezi mmoja kuelekea uchaguzi , alijitokeza afande Captain Tesha, ambae taarifa ya msimamo wake wakuunga mkono wito wa wananchi kuandamana nikama iliwastua kidogo Samia, Kikwete na Genge lao, sababu nidhahiri walipata pia Intel zaidi kwamba jeshi au sehemu ya vikosi vya jeshi pia inamsimamo sawa na ule wa captain Tesha..

Hivyo ccm gang kwa pamoja na CDF mkunda ambae naamini alikua bado ni mwenzao ,nafikiri walikubaliana waagize mercenaries kadhaa kua standby na kuongeza nguvu ikiwa sehemu ndogo ya jeshi iliokua inawaunga mkono ingezidiwa,Just in Incase surprise yeyote toka kwa vikosi visokua upande wao ingetokea. Na ili kuhakikisha hata hivyo vikosi ambavyo waliamini vinaweza kuasi havileti usumbufu , CDF MKUNDA aliamuru wawekwe quarantine (a grave mistake)ili wasije kufanya uasi na kuacha vikosi vichache tu kwa ajili ya lolote dogo .
Hapa ikumbukwe walifanya yote haya kwa Imani wananchi hatutoandamana hivyo hawakuona haja ya kua na mercenaries maelfu!.

Lakini the unexpected occurred, katika Hali isiyotarajiwa malaika wa ujasiri aliwaingia Watanzania nakuamua kuandamana. Ikumbukwe wakati huohuo sisi TUMEANZA maandamano , wakuu wote wa vyombo vya usalama wakiongozwa na CDF mkunda walielekea Dodoma ambako Samia alikua anaenda kupiga kura na kukamilisha uchafuzi!!.

Sasa taarifa za maandamano zilipowafikia , hapo ndipo msuguano wa kimaamuzi ya Kipi kifanyike ulipoanzia ,kwa ninavyoamini Mimi. Naamini Police chini ya Muliro na Mafwele wao walitoa oder ya moja kwa moja polisi ku engage na kuwazima waandanaji kwa matumizi ya nguvu kama kawaida yao., ila wakiwa katika hayo Mkunda akasema basi jeshi lazima litimize wajibu wake wa kuwalinda raia kama kawaida pasipo kuingilia kazi ya polisi , ili walau asionekane amenunulika.

Sasa nafikiri maandamano yalivyoanza kupamba moto na kushika kasi nchi nzima, ndipo Genge la ccm lilihitaji kuyazima kwa nguvu , hivyo wakaamua kumuomba mkunda atoe jeshi barabarani wao washughulike na waandamanaji ndipo mkunda akagoma, na immediately wakamuweka under arrest since amezungukwa na timu nzima ya chawa wa Samia. Uku wakisubiri kuona kama POLISI watawazidi nguvu waandamanaji nakurestore peace!!.
Lakini walipoona polisi wote wamezidiwa ,ndipo walipoamua ku unleash kile kikosi cha wale mercenaries kutoka UG, katikaa maeneo yaliyokua na maandamano makali.
Ambao nao pia hawakufua dafu kivile sababu ya uwepo wa JWTZ wachache barabarani!!..Sasa basi , huenda CDF aliitoa Ile taarifa akiwa katika shinikizo la Mafwele,mombo na wanausalama wengine chawa wa mama ili kujaribu kuwarudisha nyuma waandamanaji , lakini pia kutoa uhalali wa Hilo jeshi la Uganda la Samia kuanza kufanya mauaji kwa waandamanaji kupitia SARE za JWTZ kutoka kwa Angela kizigha!!..
WANAJESHI wetu wako quarantine, hawana silaha na ndio maana tumepata ugumu wa kuwapa nchi, na yote nikutokana na makosa ya kiutawala ya CDF Mkunda!!

Vipi maono yenu wakuu???
Umeelezea uzuri sana na maelezo yako yalingana na taarifa zote za kijasusi zilizopo.

Tatizo kubwa Amiri Jeshi Mkuu kapoteza imani na CDF na JWZT (khasa baada ya Clip ya kapteni Tesha)hivyo jeshi limegawanyika na kuweka "matter worse" lipo jeshi la kutoka kwa M7.

Tuombe watu wazima waketi wajadiliane nini cha kufanya kwa kutumia akili ya kuzaliwa.
 
Kama watu wa usalama wana nguvu kuzidi JWTZ basi tumekwisha kama taifa!
Hawana nguvu bati binafsi nimewaza kufuatana na mazingira ,sijui mambo ya kijeshi but Sina uhakika kama CDF hua anatembea na kikosi kizima, so probably waliojaa wengi pale walikua na mawazo tofauti na yake then he was outnumbered, politics Iko dirty,,pia kama ulimfatilia Augustino polepole senior colonel, alimuonya kwamba asipo act fast basi case study yake Itakua kama mangungo wa msovero..again ni mtazamo tu maana wengi tulitamani hao mercenaries wa UG wadhibitiwe
 
Hao wana ubavu gani wa kwenda kumkamata mkuu wa majeshi yenye silaha kubwa kuliko za hao mashushushu?

Some things just don’t make sense.
Could be speculations.
Kuhusu Kuwa na nguvu, did you not get that clip ya Mafwele akizungumza kuhusu yeye kumdhibit cpt Tesha?. Since when is a member of the military disciplined is such way. It seemed to me, Mafwele yupo juu ya taratibu za kijeshi. It that is so, what can he not do?
 
Hawana nguvu bati binafsi nimewaza kufuatana na mazingira ,sijui mambo ya kijeshi but Sina uhakika kama CDF hua anatembea na kikosi kizima, so probably waliojaa wengi pale walikua na mawazo tofauti na yake then he was outnumbered, politics Iko dirty,,pia kama ulimfatilia Augustino polepole senior colonel, alimuonya kwamba asipo act fast basi case study yake Itakua kama mangungo wa msovero..again ni mtazamo tu maana wengi tulitamani hao mercenaries wa UG wadhibitiwe
Yes-anaweza kuwa ambushed.
 
Kitendo Cha Mkunda Kusoma neno Kwa neno kwenye ile speech yake kilileta Wasi Wasi kuwa probably yupo chini ya watu
Na pia uwezekano mkubwa wa AI kutumia maneno yake kuonekana asoma taarifa.

Ukichunguza sana body language yake khasa macho haiendani na usomaji.

Ni tofauti ukimwangalia news anchor kwenye Telly ambae huangalia screen ilio mbele yake hivyo kuonekana akutizama weye lakini kiukweli asoma news.

Chief aonekana yuko tense na ana wasiwasi na woga.
 
Could be speculations.
Kuhusu Kuwa na nguvu, did you not get that clip ya Mafwele akizungumza kuhusu yeye kumdhibit cpt Tesha?. Since when is a member of the military disciplined is such way. It seemed to me, Mafwele yupo juu ya taratibu za kijeshi. It that is so, what can he not do?
That means the organs (army) and are somehow or fully paralysed.

Ila bado siwezi kuamini kwa Tanzania, lazima kuna mkono wa tatu wenye nguvu kubwa hata ya kuamuru mmoja wa wale wazee awe kwenye house arrest.
 
Back
Top Bottom