Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,944
- 3,090
Sijui ni kipi kinachotushangaza hata tusiamini ni ngumu kwa CDF kuwekwa chini ya ulinzi.
Jenga picture ya kijana wako anaekuuzia duka la siraha , kwa watu wengine anaweza akawa anatisha na kuogopeka sana kwa sababu ya picture ya nje kutokana na aina ya ile mizigo wanayomkuta nayo pale ,lakini vipi atakapokuwa anaongea nawewe ? Wakati mwingine huja akiwa amevaa vest na bukta mko bustanini mnapiga story.
The same apply kwa mkuu wa majeshi ,anatisha pale anapokuwa na watu wengine huku chini ,lakini inapotokea ameitwa na Boss wake kikatiba(Rais) yule aliyemvisha vyeo mabegani na kifuani unadhani anacho cha kujitingisha mbele yake ?
Ninachohisi nikwamba yawezekana aliitwa tu friendly nae akaenda alivyofika watu wakafunga mlango nakumuweka kwenye himaya kisha wakampa utaratibu.
Nanusa kaharufu ka kusalitiana
Yazekana upande wa pili wa Mafwele na team yake walishaustukia upande wa team ya upande wa CDF ,Polepole ,Tesha na baadhi ya macaptain wengine
Kilichofanyika nikwamba upande wa CCM wakapandikiza midle man (mtu wa kati) ambae atakuwa ananyonyabtaarifa kwa CDF nakuzipeleka kwa upande wa CCM .
Yawezekana hata mkakagibwa Polepole kurejeshwa Bongo ni hesabu za mbali , hata ujio wa Polepole unaonekana ni ujio wa kijasusi kabisa ule kuwa afike ,afichwe na aendelee na shughuli zake kama kawa ili aendelee kuamini bado yupo salama .
Kunajicho jingine lakidadisi huwa namtazama Captain Tesha kama alikuwa kiungo mchezeshaji ,aliyepandikizwa kwa lengo maalumu ili team B waweze kuwascan wasaliti jeshini na baadae waweze kumalizana nao.
Huku wao wakitengeneza mazingira ya tarehe 29_10 wenzao walikuwa wakiwasomea ramani kistaarabu tu .
Naona uhusiano huo huo ndio uliyomuhakikishia Polepole asiwe na sababu ya kuogopa kukaa Tanzania kwasababu aliamini yeye atakuwa chini ya mbawa za CDF bila kujua kuwa huyo CDF ni kijana tu wa watu .
Yawezekana aliulizwa nae akajibu kuwa tupo pamoja ,lakini majibu yake hayakuaminika sawasawa ndiyo maana jamaa wakawa na power back up , na hiyo power back up ile ya waganda siyo kwamba jamaa haijui ila hana namna .
Hii movie huko tunakokwenda inakokwenda inakwenda patamu tuwe tu wavumilivu.
Alichokoseani nikuto kuchagua uoande