machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 917
Kwa mtazamo wako inaonyesha wewe si Mkristo wala Muislamu, tuambie Imani yako ili tujue jini ya kukuelimisha. Unashangaza sana Brother. Sasa shetani alitoka wapi.na chazo chake ni wapi?.Brother hizo ni paukwa pakawa hadithi za kufikirika mbiguni hakuwezi kutokea vita hata siku moja, futa kabisa akilini mwako, waligombea ni utawala, biashara, umiliki, utajiri au wanawake? kinachotia utata watowaji wa hekaya hizo wanadhania malaika wanaishi kama binaadam,