Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,649
- 1,497
Ni vitu vya kushangaza
Black hole u can't be serious brother/sister/mother/father may u plz go find more education on black holes.Kinacho fanya meli na ndege kupotea sehemu ya bermuda triangle ni mahusiano ya kijiografia na wala meli hizo na ndege hizo hizipotei kila zinapo pita sehemu hiyo hapana, isipokuwa hutokea kipindi fulani, Sehemu hiyo pana shimo kubwa sana kwenda chini ya ardhi kutoka usawa wa ardhi chini ya maji kwa jina la kitaalamu huitwa black hole, shimo hili lilitokea wakati wa kuubwa ardhi ilipopasuliwa kutok kutoka ktk tufe moja mono block rejea the (bingbang) mripuko ulio achanisha ardhi na wingu(earth & sky) na chini kabisa ya shimo hilo kuna volcano, wakati inapo chemka volcano chini hufanya maji ya sehemu ile yazunguuke kwa kasi ya ajabu na kutengeneza mawimbi makubwa yanayozunguuka kwa kasi ya ajabu na kutengenza shimo kubwa sana juu ya maji na sehemu ile hewa huzunguushwa kuanzia usawa wa bahari kupanda juu kwa kasi ya ajabu, twaweza kusema hutengenezwa mlima wa hewa izungayo juu(screed air) kwa kasi kubwa, ktk kipindi hicho kama kutakuwa na meli sehemu ile huzunguushwa na yale maji yazunguukayo kwa kasi na kuzamishwa shimoni , pia ndege hufanywa hivo hivo na hewa ya sehemu ile, na kwa mzunguuko huwo wa maji na hewa nguvu kubwa za uvutano ( magnetic force ) huzalika,
Hilo ndilo ZIMWI la bermuda triangle
Kwa hiyo ukishuka pale north pole unaingia nchi mpya ?Bermuda Triangle, ni moja ya milango mingi kuelekea katika bara la Antartica ambako Aliens wanaishi. Hapo Bermuda triangle huwa panafungjliwa na demons au waweza waita Aliens, au Guardians. Sababu kubwa ya kufungua huo mlango, ni kuchukua watu kwa ajili ya utengenezaji wa hybrids kati ya wanaadamu na aliens. Dunia tunayoishi haijulikani ina umbo gani. Wapo watu wanaoamini kuwa dunia ni flat round disc. Na wengine wanaamini dunia ni duara, na wengine wanaamini dunia ni duara Lakini kuna tundu kubwa katika North pole linalotokezea katika South pole. Na nani ya tundu hilo, kuna jua na nchi kama ilivyo huku sehemu ya huu ya dunia tunayoishi. Huko katika hollow Earth, wanaishi demons ambao huitwa Guardians ndio wanaoendesha UFOs, na ndio wanaozamisha Meli na ndege.
Tusaidie basi tuelewe kama alivyoandika kiswahili na maelezo kadhaaBlack hole u can't be serious brother/sister/mother/father may u plz go find more education on black holes.
How do you relate black holes na kuzama kwa meli kwenye zone ya Bermuda triangle
Guys msijibu things u have no understanding of
A black hole is a region of spacetime exhibiting such strong gravitational effects that nothing—not even particles and electromagnetic radiation such as light—can escape from inside it. Wikipedia
Black hole u can't be serious brother/sister/mother/father may u plz go find more education on black holes.
How do you relate black holes na kuzama kwa meli kwenye zone ya Bermuda triangle
Guys msijibu things u have no understanding of
A black hole is a region of spacetime exhibiting such strong gravitational effects that nothing—not even particles and electromagnetic radiation such as light—can escape from inside it. Wikipedia
Black hole u can't be serious brother/sister/mother/father may u plz go find more education on black holes.
How do you relate black holes na kuzama kwa meli kwenye zone ya Bermuda triangle
Guys msijibu things u have no understanding of
A black hole is a region of spacetime exhibiting such strong gravitational effects that nothing—not even particles and electromagnetic radiation such as light—can escape from inside it. Wikipedia
Naonaga kama watu hua wanajibu kwa hisia sana kuliko kutumia akili na hekima, sasa sjui wao ndo wanataka wjulikane wamesoma sana au ndo wanajua sana kuliko wengine ..Wewe mwenye shule ya wikpedia ingia hapa uone black hole baharini nafikiri utakenua meno vzr
True factMaranyigi sana wajinga hukimbilia kukejeli kwa sabubu wataalamu husema elimu ndogo ni mzigo na hizo elimu za wikpedia zifanyie utafiti ili ufaidike sio kukurupuka hebu ingia google au utube tafuta balack hole underwater power of nature halafu uje tena na kicheko chako
Maranyigi wasomi huwa wanatulia wanapokutana na critical issues, ila sisi wenye elimu ya kugoogle tukisha google tunakurupuka bila kufanya utafiti zaidi kwa kile tunacho googleNaonaga kama watu hua wanajibu kwa hisia sana kuliko kutumia akili na hekima, sasa sjui wao ndo wanataka wjulikane wamesoma sana au ndo wanajua sana kuliko wengine ..
Swali langu kuna ulazima gani wa meli ama ndege kupita hapo kama wanajua ni sehemu hatarishi ?
Ah ah ah ah ahMshana atakuja kukupa kwa upande wa pili
Unapoingia katika tundu la North pole, haina maana kuwa ni tundu kama la chupa ukiingia huwezi kutoka. Kufuatana na force of gravity, tundu ni pana sana, ambapo chombo kama vile engine boat kinaweza kuingia bila ya kuporomoka kwenda chini. Na vile vile chombo kinaweza kusafiri kutoka chini kurudi huu nje ya North pole bila kuona tofauti. Maji yako kawaida, tofauti ni kuwa nchi hiyo lko tofauti kabisa na sehemu tunayoishi kwa sababu unapoingia sehemu hiyo unakuwa umeingia katika dimension tofauti na tunayoishi. Sehemu hiyo sio kuzimu, Lakini wanaishi Demons au malaika waliofukuzwa Mbinguni au viumbe hybrid ya aliens na wanaadamu . Richard Byrd, askari rubani wa jeshi la Amerika aliingia katika North pole na alisafiri kwa masaa zaidi ya sita na kufika sehemu hiyo, Lakini alidhibitiwa na vifaa tofauti vilivyo vya duara (UFO). Alishikiliwa katika mji mkubwa wenye teknologia ya juu sana, na watu wa kule ni watu walikuwa na lafudhi ya kijerumani, na Celtic. Pia aliona alama za NAZI,(swastica). Baada ya muda aliongzwa kurudi alikotoka akiwa salama Lakini hakuweza kueleza zaidi habari za nchi ile.Kwa hiyo ukishuka pale north pole unaingia nchi mpya ?
Au ndiyo wanaita kuzimu ?
Kichwa changu KigumuUnapoingia katika tundu la North pole, haina maana kuwa ni tundu kama la chupa ukiingia huwezi kutoka. Kufuatana na force of gravity, tundu ni pana sana, ambapo chombo kama vile engine boat kinaweza kuingia bila ya kuporomoka kwenda chini. Na vile vile chombo kinaweza kusafiri kutoka chini kurudi huu nje ya North pole bila kuona tofauti. Maji yako kawaida, tofauti ni kuwa nchi hiyo lko tofauti kabisa na sehemu tunayoishi kwa sababu unapoingia sehemu hiyo unakuwa umeingia katika dimension tofauti na tunayoishi. Sehemu hiyo sio kuzimu, Lakini wanaishi Demons au malaika waliofukuzwa Mbinguni au viumbe hybrid ya aliens na wanaadamu . Richard Byrd, askari rubani wa jeshi la Amerika aliingia katika North pole na alisafiri kwa masaa zaidi ya sita na kufika sehemu hiyo, Lakini alidhibitiwa na vifaa tofauti vilivyo vya duara (UFO). Alishikiliwa katika mji mkubwa wenye teknologia ya juu sana, na watu wa kule ni watu walikuwa na lafudhi ya kijerumani, na Celtic. Pia aliona alama za NAZI,(swastica). Baada ya muda aliongzwa kurudi alikotoka akiwa salama Lakini hakuweza kueleza zaidi habari za nchi ile.
Unapoingia katika tundu la North pole, haina maana kuwa ni tundu kama la chupa ukiingia huwezi kutoka. Kufuatana na force of gravity, tundu ni pana sana, ambapo chombo kama vile engine boat kinaweza kuingia bila ya kuporomoka kwenda chini. Na vile vile chombo kinaweza kusafiri kutoka chini kurudi huu nje ya North pole bila kuona tofauti. Maji yako kawaida, tofauti ni kuwa nchi hiyo lko tofauti kabisa na sehemu tunayoishi kwa sababu unapoingia sehemu hiyo unakuwa umeingia katika dimension tofauti na tunayoishi. Sehemu hiyo sio kuzimu, Lakini wanaishi Demons au malaika waliofukuzwa Mbinguni au viumbe hybrid ya aliens na wanaadamu . Richard Byrd, askari rubani wa jeshi la Amerika aliingia katika North pole na alisafiri kwa masaa zaidi ya sita na kufika sehemu hiyo, Lakini alidhibitiwa na vifaa tofauti vilivyo vya duara (UFO). Alishikiliwa katika mji mkubwa wenye teknologia ya juu sana, na watu wa kule ni watu walikuwa na lafudhi ya kijerumani, na Celtic. Pia aliona alama za NAZI,(swastica). Baada ya muda aliongzwa kurudi alikotoka akiwa salama Lakini hakuweza kueleza zaidi habari za nchi ile.
Hilo lisikushangaze ndugu. Kumbuka ile vita iliyotokea Mbinguni hata kufikia Lucifer kufukuzwa mbinguni ,alitupwa duniani pamoja na theluthi ya malaika. Hao malaika waliofukuzwa ndio hao wanaishi chini ya dunia.Bila shaka kwa maelezo hayo Richard byrd alikuwa na celebre marelia,
Maswali mengi ya kuuliza swali kuu huko mbinguni walifukuzwa kwa kosa gani?
Tunavyo amini malaika wote ni watiifu
Hilo lisikushangaze ndugu. Kumbuka ile vita iliyotokea Mbinguni hata kufikia Lucifer kufukuzwa mbinguni ,alitupwa duniani pamoja na theluthi ya malaika. Hao malaika waliofukuzwa ndio hao wanaishi chini ya dunia.