princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,383
Kabla sijamaliza kusomasijaenda mkuu ila logically inaniingia akilini,si kila sehemu baharini inaweza kupitika hasa kulingana na nature ya mawimbi nk ila watu wanalazimika kupitia hapo kwa kuwa kijiografia tuusehemu ilipo hawana budi kupita,sehemu kukiwa na shimo kubwa kwenda chini iwe baharini au nchi kavu hyo sehemu lazima itakuwa na upepo mkali sna unaoingia humo kwa kuzunguka,au kama ni bahari itakuwa na mawimbi makali sana yanayozunguka kiasi kwamba ili nguvu ya pale inaweza kukivuta hata kitu ambacho kinapita around maeneo yale,kama ni mtu akitumbukia humo uwezekano wa kuona hata maiti yake ni mdogo,nakumbuka wakati wadogo mtoni tulikuwa tunaambiwa hapo kuna chunusi linabeba watu nk,si kweli ni nguvu ya uvutano iliyoko pale
inabidi ukahakikishe mkuu