Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimekuwa nasikia mengi yakisemwa kuhusu Urais wa Magufuli wengine wanasema mpaka leo hii hawajui uelekeo wake kiuchumi, mimi nasema watu wanaosema hivi ni kwamba wana matatizo ya uelewa au hawataki kwa makusudi kabisa kuelewa, Rais Magufuli ameshaweka bayana ni wapi anataka kuilekeza nchi kwa miaka mitano ijayo!
Msikilize Waziri Mpango akielezea ni wapi nchi yetu inaelekea!
Msikilize Waziri Mpango akielezea ni wapi nchi yetu inaelekea!