Kobazi wamenuna roho zao zimejawa chuki na husuda walizorithishwa na pedoplile muddyKwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda.
Don’t mess with IDF!!
Kwa dunia ya leo ni ngumu sana habari kuwa Controlled. Ukasema Mimi nimeaminishwa!! Kitu amba ho si kweli Nijuavyo Mimi Israel Ina Jeshi dogo bora sana duniani kwa Mashariki ya kati hakuna Jeshi unaweza kulilinganisha na Jeshi la Israel na ndiyo maana jeshi la Israel linaitwa “The most moral army on the planet”.Unakuwa ''manipulated'' na habari zinazo kuwa controlled!
Pili, umeanishwa hili ni Taifa lenye nguvu sana kama vyombo vya magharibi vinavyosema.
Yote hayo ni kuficha ushiriki wao middle east kwasababu za kiusalama na siasa.
Hiki kimekuwa kisingizio cha kuficha Ubakaji,Utekwaji na mauaji ya watu wasio na hatia yaliyofanywa na Magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023.Ugomvi wa Palestina na Israel haukukuza October 7. 2023. Ubinadamuupi unaungelea
Mimi kama binadamu mwingine siwezi kuwa na Ufahamu wa habari za dunia zote lakini Nina uzoefu na habari za Mashariki ya kati wakati mwingine kukuzidi wewe. Binafsi sihitaji msaada wowote . Pia najua kwa nini unanitaka niachane na habari za middle-east ni kwa sababu najua wengi sana mnapotosha sana hasa habari za Israel.Nakuhakikisha Echolima, habari za Dunia huna ufahamu nazo. Najaribu kukusaidia kwasababu nimekusoma mara nyingi nikaona unahitaji msaada. Hizi habari za middle east achama nazo! Hujui
Hapa unadhihirisha upofu. Unadhani ni kwanini Israel imeua Waandishi wa Habari 105+ kule Gaza.Kwa dunia ya leo ni ngumu sana habari kuwa Controlled.
Mbona wanaomba msaada wakitaka kufanya shambulio!Kitu amba ho si kweli Nijuavyo Mimi Israel Ina Jeshi dogo bora sana duniani kwa Mashariki ya kati hakuna Jeshi unaweza kulilinganisha na Jeshi la Israel na ndiyo maana jeshi la Israel linaitwa “The most moral army on the planet”.
Hivi unajua Askari wa Israel wameonyeshwa na TV zote Duniani '' WAKIWAFIRA'' wafungwa PalestinaHiki kimekuwa kisingizio cha kuficha Ubakaji,Utekwaji na mauaji ya watu wasio na hatia yaliyofanywa na Magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023.
Mkataba huo ulisainiwa wapi!Kabla ya tukio la Oct 07,2023 hali ilikuwa nzuri kulikuwa na mikataba ya Amani iliyokuwa imewekwa.
Lini kulikuwa na mazungumzo ya two state solution. Nini kilisababisha I.Rabin kuuawa.Wapalestina wengi walikuwa wakifanya kazi Israel ambao kwa kweli hawakuwa nia njema hatimaye wakafanikisha tukio la Oct 07,2023 ambalo lilizika kabisa matumaini ya “Two State Solution” na kufuta kabisa uwezekano wa kuwa na Taifa linaloitwa Palestina.
Nakuambia hujui kinaendelea nini. Baada ya kuuawa viongozi wa Hezbollah, nini kilifuata.Shambulio la Oct 07,2023 limeibadirisha sana sura ya Mashariki ya kati na kuifanya Gaza iwe kama ilivyo leo( Magofu ) pili limesababisha utawala wa Assad huko Syria kupinduliwa, Tatu limesababisha Hezbollah kumalizwa safu nzima ya uongozi wake akiwemo Hassan Nasrallah. Nne limesababisha Hamas nao kupoteza ma-MasterMind wa tukio la Oct 07,2023 na sasa wanapigwa kama watoto yatima. Tano limesababisha Iran aumbuke baada ya njia yake ya kupeleka silaha kwa magaidi wa Hezbollah kufungwa.
Hujui kabisa, wewe unangozwa na hisia tu za mambo ya Iman! Unajua kwanini nimeamua kukuelewesha! Ninataka nikusaidie baada ya kujua hujui na hutaki kujua kwamba hujui! Haya si mambo ya kilokole. Ni mambo ya siasa za Dunia zinazoingiliana. Yanahitaji ufahamu si kusimuliwa au kusoma headlines! Mashariki ya kati kuna mengi!Nina uzoefu na habari za Mashariki ya kati wakati mwingine kukuzidi wewe. Binafsi sihitaji msaada wowote .
Sitaki uachane! Ninataka ujifunze na uwe na ufahamu. Tuendelee na mjadala nikupe shule maana kazi ya kutoa elimu ni sadaka !Pia najua kwa nini unanitaka niachane na habari za middle-east ni kwa sababu najua wengi sana mnapotosha sana hasa habari za Israel.
Hapana usiachane nazo, ila nakukumbusha unaadhirika!Kwa hiyo Unataka niachane na habari za Middle East ili iweje? Wewe utafaidika namna gani?
Ulivyo kipofu hata hujui hao walikuwa waandishi wa habari mąkanjanja ambao wanafanya kazi kama Hamas Operatives. Na pia uelewe kuwa magaidi mara zote huwatumia wanawake na watoto wanatumia majengo mbalimbali ya kijamii kama vile Hospitali ,Misikiti na Makanisa kama Kinga usishangae waandishi wa habari wakatumika tatizo lako hata hushangai kwa nini hao Makanjanja wote ni wapalestina!!!Hapa unadhihirisha upofu. Unadhani ni kwanini Israel imeua Waandishi wa Habari 105+ kule Gaza.
Kila jeshi wana sheria zao lakini kwa Israel hairuhusiwi waandishi wa habari wawepo mstari wa mbele na wanaruhusiwa tu ikiwa eneo husika limekombolewa au liki wa kwenye udhiti wao wanaweza kuitwa na kutembezwa na wanajeshi wao. Ni uongo kusema kwamba askari wa Israelwanatakiwa waambatane na wanajeshi wa Israel!! Nasema hivyo kwa kuwa Nina uhakika Ninachokisema.Unadhani kwanini kituo cha Al Jazeera ki;ishambuliwa. Unadhani kwanini Waandishi wa CNN wanatakiwa kuambatana na Wanajeshi wa Israel.
Nimekuwa nikijibu swali hili kwa watu wengi sana na sasa narudia:Swali, ikiwa Israel ina jeshi lenye uwezo kwanini haiendi yenyewe kupambana.
Nimekuambia hivi ndiyo maana IDF inaitwa The most moral army on the Planet, Ukiona wapi wewe unapigana na adui yako kisha Unampa chakula,maji na mahitaji mengine ya ki binadamu? Kwa dunia hii ni IDF tu ndiyo iliweza kufanya hilo lakini kuanzia mwezi wa 3 waliamua kufuata msemo wetu Wamatumbi kuwa “Adui yako Mwombeki Njaa” na Mimi nawaombea wakazie hapo hapo waweke huruma kando maana Hamas wenyewe hawana huruma sasa kwa nini kuwaonea huruma ?Unajua malori 3000 yamezuia kuingia Gaza kupeleka misaada. Umesikia hilo wapi?
Kwa maana hiyo umekaririshwa kuwa mimi sijui kiingereza?,” Jeshi la maadili zaidi duniani''Umeandika haya '' the most moral army on the planet'' @Echolima, unajua maana ya maneno hayoHebu fafanua , nina wasi wasi sana kama unaelewa maana yake!
Ndugu hayo kuwaonyesha ilikuwa ni kosa na lengo lao niHivi unajua Askari wa Israel wameonyeshwa na TV zote Duniani '' WAKIWAFIRA'' wafungwa Palestina
Hujui kabisa, wewe unangozwa na hisia tu za mambo ya Iman! Unajua kwanini nimeamua kukuelewesha! Ninataka nikusaidie baada ya kujua hujui na hutaki kujua kwamba hujui! Haya si mambo ya kilokole. Ni mambo ya siasa za Dunia zinazoingiliana. Yanahitaji ufahamu si kusimuliwa au kusoma headlines! Mashariki ya kati kuna mengi!
Adui yako muombee Njaa ndiyo suruhisho ya vita vinginevyo atakują kukusumbua bure!!!Kuzuia chakula na kupiga Hospitali si mauaji ya wasio na Hatia!
Kabla ya Oktoba 7, 2023, Israel haikuwa na mkataba rasmi wa amani na Hamas. Badala yake, uhusiano kati ya pande hizi mbili ulikuwa wa mvutano, ukiwa umejaa mizozo ya mara kwa mara, pamoja na vipindi vya mapigano na makubaliano ya kusitisha mimi apigano (ceasefires) ya muda. Hamas, ambayo ilichukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza mwaka 2007, imekuwa ikishirikiana na Israel kupitia makubaliano ya muda au ya kimudu yaliyopangwa na wapatanishi kama Qatar na Misri, lakini hakujawahi kuwa na mkataba wa amani wa kudumu.Mkataba huo ulisainiwa wapi!
Nchi za Magharibi hazikutambua ushindi wa Hamas, sasa Mkataba uliingiwaje na nani na wapi
Hapo ulokole umeuingizaje? Mimi ninakuambia mimi nimesomea huku miaka 2 kwa hiyo mimi najua zaidi yako wayahudi walivyo.Hujui kabisa, wewe unangozwa na hisia tu za mambo ya Iman! Unajua kwanini nimeamua kukuelewesha! Ninataka nikusaidie baada ya kujua hujui na hutaki kujua kwamba hujui! Haya si mambo ya kilokole. Ni mambo ya siasa za Dunia zinazoingiliana. Yanahitaji ufahamu si kusimuliwa au kusoma headlines! Mashariki ya kati kuna mengi!
Kasome '' International Federation of Journalists'' au IFJ. Tatizo utakalokumbana nalo ni lugha, tafuta msaada utaelewa!Ulivyo kipofu hata hujui hao walikuwa waandishi wa habari mąkanjanja ambao wanafanya kazi kama Hamas Operatives.
Nitajie Hospitali moja iliyokutwa na Vifaa na Magaidi. Juzi wameuawa watu wa Red cross! unasemaje juu ya hilo? Mwaka jana waliuawa ''World central Kitchen'' unasemaje juu ya hao!Na pia uelewe kuwa magaidi mara zote huwatumia wanawake na watoto wanatumia majengo mbalimbali ya kijamii kama vile Hospitali ,Misikiti na Makanisa kama Kinga usishangae waandishi wa habari wakatumika tatizo lako hata hushangai kwa nini hao Makanjanja wote ni wapalestina!!!
Kuna kitu kinaitwa ''rules of engagement''. Kuna sheria za Kimataifa zinazo govern mambo ya Vita.Kila jeshi wana sheria zao lakini kwa Israel hairuhusiwi waandishi wa habari wawepo mstari wa mbele na wanaruhusiwa tu ikiwa eneo husika limekombolewa au liki wa kwenye udhiti wao wanaweza kuitwa na kutembezwa na wanajeshi wao.
Waandishi wote wa Mashirika kama CNN, BBC n.k. kabla ya taarifa husema '' Katika safari hii tunaongozwa na askari wa Israel'' Kauli hii ni kwa ajili ya maadili ''ethics'' za kazi zao kwamba kinachoeleza si 'independent''.Ni uongo kusema kwamba askari wa Israelwanatakiwa waambatane na wanajeshi wa Israel!! Nasema hivyo kwa kuwa Nina uhakika Ninachokisema.
Aha! si umesema ni jeshi kubwa middle east! hakuna wa kupambana naye!Hakuna nchi duniani Inaweza kuingia vitani bila kuwa na Mshirika. Hata hawa wanaitwa Super powers Russia,Marekani na zingine hawawezi kuingia vitani wakiwa peke yao kwa sababu wanajua, sasa kama Russia tu na Ukraine Russia anasaidiwa na China,Iran,Afrika Kusini na Mataifa mengi tu itakuwaje wewe kuitaka Israel kupambana na Iran peke yake.?
Mwaka 1978 ulikuwa Vitani Kagera kwa mujibu wa simulizi zako. Tena ukasema ulichukuliwa na ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kuona maiti. Hapa ulimaanisha askari wa JWTZ waliouawa.Binafsi nimesomea huko 1977 na 1978 najua ubora wao na ndiyo maana kwenye vita hivi vya Gaza wamevunja record ya kuweka kupigana na mistari ya mbele saba( SevenFronts) at the same times na wakaweza kushinda. Kwenye simlizi za vita vyote ilivyopigana vita vya Gaza vimewapa sifa kubwa sana kijeshi.
Rules of engagement za Vita zinasema Raia wanapewa ulinzi na misaada ya kibinadamu.Nimekuambia hivi ndiyo maana IDF inaitwa The most moral army on the Planet, Ukiona wapi wewe unapigana na adui yako kisha Unampa chakula,maji na mahitaji mengine ya ki binadamu?
Halafu unasema ni '' morally ethical army'' ndio maana nakuambia hujui lkiingereza. Neno ''moral'' lina maana yake. Wewe unataka wauawe Wapalestina wasio na hatia. Walokole hawana Imani mbovu kiaisi hicho! Tofauti yako wewe na Hamas ni ipi?Kwa dunia hii ni IDF tu ndiyo iliweza kufanya hilo lakini kuanzia mwezi wa 3 waliamua kufuata msemo wetu Wamatumbi kuwa “Adui yako Mwombeki Njaa” na Mimi nawaombea wakazie hapo hapo waweke huruma kando maana Hamas wenyewe hawana huruma sasa kwa nini kuwaonea huruma ?
Hujui kiingereza! huwezi kuwa na jeshi la maadili linalopiga Hospitali. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalozuia chakula kwa Watoto , Wanawake wafe. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalompiga msichana wa miaka 8 risasi mchana kweupe. Huwezi kuwa na maadili UKIFIRA wafungwa!Kwa maana hiyo umekaririshwa kuwa mimi sijui kiingereza?,” Jeshi la maadili zaidi duniani''
Kwahiyo ''UFIRAUNI'' ni jambo la kawaida! Lakini jiulize, Mfungwa mwenye Pingu anainamishwa na KUFIRWA hilo unaliona la kawaida. Kesho unaimba mapambio ya kilokole! Morally bankrupt.wayahudi waonekane ni watu wa ajabu sana. Lakini kila sehemu hasa magereza ya ku Fira au kufirwa ni kitu cha kawaida kabisa na ukichukulia wao ni waarabu kitovu cha ushenzi huo.
ok, fair enough! sasa unaposema jeshi la maadili, ni yapi hayo!Adui yako muombee Njaa ndiyo suruhisho ya vita vinginevyo atakują kukusumbua bure!!!
Ndio maana nakuambia hujui, hakuna kitu kinachoitwa ''mkataba usio rasmi''. Ni ima mkataba au la.Kabla ya Oktoba 7, 2023, Israel haikuwa na mkataba rasmi wa amani na Hamas.
Hakuna mkataba! Period. Hayo mengine unaumba umba tu kwasababu hujui.Badala yake, uhusiano kati ya pande hizi mbili ulikuwa wa mvutano, ukiwa umejaa mizozo ya mara kwa mara, pamoja na vipindi vya mapigano na makubaliano ya kusitisha mimi apigano (ceasefires) ya muda. Hamas, ambayo ilichukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza mwaka 2007, imekuwa ikishirikiana na Israel kupitia makubaliano ya muda au ya kimudu yaliyopangwa na wapatanishi kama Qatar na Misri, lakini hakujawahi kuwa na mkataba wa amani wa kudumu.
Ulikuwa vitani 1978! kama ulisomea huko kuna vitabu uliacha! nina shaka ulikuwa na kazi zingine!Hapo ulokole umeuingizaje? Mimi ninakuambia mimi nimesomea huku miaka 2 kwa hiyo mimi najua zaidi yako wayahudi walivyo.
Kilaza pro maxNguruvi3 inaonyesha Una chuki zako binafsi juu ya Israe!! Nakujibu maswali yako kama ifuatavyo:
1. Israel Ina washirika wake (Allies) kuna shida gani Waki share information?
2. Israel wakipata msaada kutoka Marekani wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako? Wewe unaona kuna shida gani?
3. Kama niliposema hapo mwanzo Israel ana Washirika (Allies) wake wewe unaona au unapata shida gani Wakishirikiana kufanya Operation zao?
4. Hakuna udhibitisho wa wazi kuonyesha Israel ilishinikiza Saddam na Gaddaf waondolewe. Hata hivyo ma Dikteta hao kwa pamoja walikuwa wana mpango wa kuitishia Israel kuishambulia sasa wewe unaona kuna ubaya gani Israel kushinikiza Madiktea hao waondolewe kama wao wenyewe tu walitaka kuiondoa Israel 🇮🇱?
5. Silaha za Israel kazi yake si kutatua tatizo la Mashariki ya kati silaha hizo ni kwa ajili ya kujihami na kujilinda na maadui wanaotaka kuiangamiza Israel 🇮🇱. Wewe tena unaona wivu sana Israel ikiwa na silaha zake za kujilinda unatamani sana wakose kabisa ili wafutwe kwenye uso wa dunia!! Kwa taarifa yako tu ndoto yako haitatimia utafutika wewe na ukoo wako na Israel itaendelea kuwapo.
Don't even bother...Hapa unadhihirisha upofu. Unadhani ni kwanini Israel imeua Waandishi wa Habari 105+ kule Gaza.
Unadhani kwanini kituo cha Al Jazeera ki;ishambuliwa. Unadhani kwanini Waandishi wa CNN wanatakiwa kuambatana na Wanajeshi wa Israel. Ni TV gani inayoongelea Wananchi wanaokufa na njaa.
Unajua malori 3000 yamezuia kuingia Gaza kupeleka misaada. Umesikia hilo wapi?
Fuatilia nani wamiliki wa TV , Magazeti ya nchi za Magaharibi. Unajua akina Elon Musk wanafanya nini X.
Kwanini Waandishi wa Habari walioonyesha habari zinazokinzana na matakwa , wanafukuzwa kazi
Nilikueleza umesoma The Haaretz na jerusalem Post! Maana yangu, ukisoma magzeti hayo ya Israel utabaini mengi.
Mbona wanaomba msaada wakitaka kufanya shambulio!
Ubora upi? Ukilinganisha na nini? Ni kweli, ukilinganisha na Hamas wanaotengeneza silaha uani.
Unadhani kwanini Saddam aliondolewa! Kwanini wanataka Iran ishambuliwe
Kwavile hujuia, nitakupa shule. Israel ilitaka Marekani washambulie Iran, Obama alikataa kwa kusema hapeleki Askari wake. Huo ndio msingi wa Mazungumzo ya 'Nuklia' kati ya US na Iran na kufikia mkataba, na chanzo cha ugomvi kati ya Obama na Nyahu
Trump alipoingia akafuta Mkataba huo kwa shinikizo la BB Nyahu ili washambulie Iran. Wakamuua kiongozi wa Nuklia na kiongozi wa Jeshi Qaseem. Iran ilijibu pigo lililoumiza Askari wa US. Trump akanywea.
Biden alikataa kushambulia Iran ukawa ugomvi na Nyahu. Trump alipoingia Israel ikasema ni fursa ya kushambulia Iran, Trump amenusa na kuamua kurudia kwa Mkataba wa Obama.
Hivi leo wanaongea Rome, Italy.
Swali, ikiwa Israel ina jeshi lenye uwezo kwanini haiendi yenyewe kupambana.
Pili, Al Asaad alikuwa Tishio sana kwa Israel ndio sababu ya kusaidia makundi kumuondoa
Umeandika haya '' the most moral army on the planet'' Echolima, unajua maana ya maneno hayoHebu fafanua , nina wasi wasi sana kama unaelewa maana yake!
Hivi unajua Askari wa Israel wameonyeshwa na TV zote Duniani '' WAKIWAFIRA'' wafungwa Palestina
Kwani ubakaji una maana gani kwako
Kuzuia chakula na kupiga Hospitali si mauaji ya wasio na Hatia!
Unasema Hamas ni Magaidi! Well, aliyefadhili Hamas kwa miaka 16 ni BB Nyahu. Unjaua hilo!
Mkataba huo ulisainiwa wapi!
Nchi za Magharibi hazikutambua ushindi wa Hamas, sasa Mkataba uliingiwaje na nani na wapi
Lini kulikuwa na mazungumzo ya two state solution. Nini kilisababisha I.Rabin kuuawa.
Umeona Video za miaka 20 za BB akikataa two state solution?
Tangu 2004 lini kulikuwa na mazungumzo kati ya pande mbili.
Unajua kwanini Israel iliwafadhili Hamas? Kwa taarifa yako, lengo lilikuwa kuwagawa Wapalestina ili kuua wazo la two state solution. Haya mambo ni elementary mbona huyajui!
Nakuambia hujui kinaendelea nini. Baada ya kuuawa viongozi wa Hezbollah, nini kilifuata.
Unajua nini kilitokea South Lebanon! Kwanini Israel ilikubali mkataba wa kusitisha mapigano.
Biden alikataa kuingiza Askari wake! kwa taarifa yako.
Gaza imekuwa kifusi, baada ya miaka 2 ya Mabomu , Hamas wameondoka?
Kwani hukuona wakati wa kubadilisha Wafungwa.
Viongozi wangapi wa Hamas wameuawa tangu iasiswe, je, Hamas imetoweka
Kama njia za Iran zimefungwa, mkataba na Hezbollah ulikuwa wa nini?
Unajua Iran imewekewa vikwazo kwa muda gani na kwasababu gani!
Hujui kabisa, wewe unangozwa na hisia tu za mambo ya Iman! Unajua kwanini nimeamua kukuelewesha! Ninataka nikusaidie baada ya kujua hujui na hutaki kujua kwamba hujui! Haya si mambo ya kilokole. Ni mambo ya siasa za Dunia zinazoingiliana. Yanahitaji ufahamu si kusimuliwa au kusoma headlines! Mashariki ya kati kuna mengi!
Sitaki uachane! Ninataka ujifunze na uwe na ufahamu. Tuendelee na mjadala nikupe shule maana kazi ya kutoa elimu ni sadaka !
Hapana usiachane nazo, ila nakukumbusha unaadhirika!
Kilaza pro max
Yaani total idiot.
Hujui hata kujibu hoja kwa kutumia facts na evidence...
Wewe ni mbuzi, na nilikuwa sahihi kusema wewe ni pumbavu.....na kilaza , elimu au biashara ilikushinda ukaamua kuangukia kwenye ujinga wa mahaba ya ngano za mashariki ya kati, wewe ni zero brain.....
Unajibu hoja kwa kuuliza "inakuuma nini"....f@kin dimwit....!
Nitajie Hospitali moja iliyokutwa na Vifaa na Magaidi. Juzi wameuawa watu wa Red cross! unasemaje juu ya hilo? Mwaka jana waliuawa ''World central Kitchen'' unasemaje juu ya hao!
Kasome '' International Federation of Journalists'' au IFJ. Tatizo utakalokumbana nalo ni lugha, tafuta msaada utaelewa!
call it what you wantDon't even bother...
This is a mental case of sociopath with obsessive compulsory disorder on phycology of obsession called "Jerusalem Syndrome".......
Waandishi wote wa Mashirika kama CNN, BBC n.k. kabla ya taarifa husema '' Katika safari hii tunaongozwa na askari wa Israel'' Kauli hii ni kwa ajili ya maadili ''ethics'' za kazi zao kwamba kinachoeleza si 'independent''.
Aha! si umesema ni jeshi kubwa middle east! hakuna wa kupambana naye!
Mwaka 1978 ulikuwa Vitani Kagera kwa mujibu wa simulizi zako. Tena ukasema ulichukuliwa na ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kuona maiti. Hapa ulimaanisha askari wa JWTZ waliouawa.
Leo unasema ulikuwa Israel! hata kama ulikwenda huko, sidhani kama ulielewa kitu! kwa haya unayoandika ima umesahau au hukujua! kimoja kati ya hivyo ni sahihi
Rules of engagement za Vita zinasema Raia wanapewa ulinzi na misaada ya kibinadamu.
Marekani imepigana vita Iraq na Pakistan, lini walizuia misaada ya chakula na Dawa? Lini walibomoa Hospitali?Hata pale walipofanya makosa, kwanza, walikubali na kuomba radhi kwa kutofuata ''rules of engagement' Vita si kurusha risasa na mabomu, wewe ulikuwa askari ! mbona haya ni basic kwa askari.
Chakula kwenda Gaza si kwa Hamas ni kwa Raia wasio na hatia na hilo si fadhila, ni sheria za Kimataifa zinazoongoza vita '' rules of engagement'. Ni kanuni za Kibaindamu kwa wenye maadili.
Halafu unasema ni '' morally ethical army'' ndio maana nakuambia hujui lkiingereza. Neno ''moral'' lina maana yake. Wewe unataka wauawe Wapalestina wasio na hatia. Walokole hawana Imani mbovu kiaisi hicho! Tofauti yako wewe na Hamas ni ipi?
Hujui kiingereza! huwezi kuwa na jeshi la maadili linalopiga Hospitali. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalozuia chakula kwa Watoto , Wanawake wafe. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalompiga msichana wa miaka 8 risasi mchana kweupe. Huwezi kuwa na maadili UKIFIRA wafungwa!
Kwahiyo ''UFIRAUNI'' ni jambo la kawaida! Lakini jiulize, Mfungwa mwenye Pingu anainamishwa na KUFIRWA hilo unaliona la kawaida. Kesho unaimba mapambio ya kilokole! Morally bankrupt.
Ukipelekwa magereza UKAFIRWA unaliona jambo la kawaida! By the way ulikwenda kusomea nini huko!
ok, fair enough! sasa unaposema jeshi la maadili, ni yapi hayo!
Ndio maana nakuambia hujui, hakuna kitu kinachoitwa ''mkataba usio rasmi''. Ni ima mkataba au la.
Hakuna mkataba! Period. Hayo mengine unaumba umba tu kwasababu hujui.
Chukua shule hiii hapa
Uchaguzi wa Palestina , Hamas walishinda na aliyethibitisha hilo ni Rais wa Zamani wa Marekani Jimmy Carter aliyekuwa msimamizi wa Kimataifa. Mataifa ya Magharibi na Israel wakakataa kutambua.
BB Nyahu akaona fursa, akaamua kuwapa Hamas pesa na kazi ili kuwagawa na PLO ya West Bank.
Mkakati ulifanikiwa kwasababu Palestina waligawanyika, PLO wakitaka two state solution, Hamas wakisisitiza kurudishwa maeneo yaliyotekwa kwanza. Mazungumzo yalipoanzishwa na Norway, Israel wakasema '' Tunaongea na nani'? PLO au Hamas! Hakujawa na Uchaguzi tangu wakati huo ili ''kulinda'' Hamas isishindwe na mkakati uendeleee. Hadi hapo kukawa na mkwamo, wakafanikiwa
Mkakati uliwatokea puani Oktoba 7, Wachambuzi wote wa Israel na nje, wanaeleza ilikuwa kosa kubwa sana kuendelea na Hamas badala ya PLO ndio maana wanataka Uchunguzi dhidi ya BB.
Haya huyapati kwa kibusa busa ! you need to read and understand.
Ulikuwa vitani 1978! kama ulisomea huko kuna vitabu uliacha! nina shaka ulikuwa na kazi zingine!
Kwanza uelewe hiyo IFJ jeshini au vitani hawajitambui kabisa. Kama unajua Nina tatizo la lugha si ungefasiri sasa. Hiyo IFJ kipindi cha vita usiwategemee utakufa kibudu tu.Kasome '' International Federation of Journalists'' au IFJ. Tatizo utakalokumbana nalo ni lugha, tafuta msaada utaelewa!
Siwezi kukutajia kila hospitali lakini hospitali yoyote iliyokuwa na miundombinu ya kigaidi na ikatumika kuwashambulia askari wa Israel kutokea hapo hiyo inakosa hadhi ya kuitwa Hospital. Na ndiyo maana zilibomolewa. Na usifikiri Israel ni wajinga Kia si cha kubomoa shale,misikiti,makanisa na hospital magaidi wa Hamas walishajijenga sana huko Gaza na walikuwa wanajua kabisa kwenye maeneo hayo Israel hawawezi kufanya kitu. Kinyume chake ndicho kimewatokea na sasa wanalalamika kwa sababu hawana ujanja tena hakuna sehemu ambako watakimbilia wasifuatwe na majeshi ya Israel.Nitajie Hospitali moja iliyokutwa na Vifaa na Magaidi. Juzi wameuawa watu wa Red cross! unasemaje juu ya hilo? Mwaka jana waliuawa ''World central Kitchen'' unasemaje juu ya hao!
Kuna pia Military-Doctrines ambazo kila mwanajeshi akiwa vitani lazima azifuate na endapo Rules of engagement ikikinzana na Military-Doctrines basi hapo hapo Military-Doctrines zina Take place.Kuna kitu kinaitwa ''rules of engagement''. Kuna sheria za Kimataifa zinazo govern mambo ya Vita.
Wewe si ulikuwa askari! inakuwaje hujui vitu basic kama hivi
Kwa sasa hivi hakuna mwandishi wa habari anayeruhusiwa kwenda mstari wa mbele hii ni kutokana na UMBEYA wa waandishi hao maana kuna wengine wanafanya kazi na adui na kufanya hivyo kwa sasa ni kuwaweka askari wako hatarini na pia waandishi wanajiweka kwenye hatari wao wenyewe huko Gaza waandishi wako huko for their own risk wasilaum mtu.Waandishi wote wa Mashirika kama CNN, BBC n.k. kabla ya taarifa husema '' Katika safari hii tunaongozwa na askari wa Israel'' Kauli hii ni kwa ajili ya maadili ''ethics'' za kazi zao kwamba kinachoeleza si 'independent''.
Kwa Mashariki ya kati mpaka Uajemi hakuna jeshi dogo na zuri kama la IDF!! Labda upende tu ubishi uliokuwa na maana!!Aha! si umesema ni jeshi kubwa middle east! hakuna wa kupambana naye!
Nilikuwa huku Jan 9,1977 mpaka Oct 20,1978 na Oct 30,1978 vita vilianza/kutangazwa hapo sijaelewa shida yako ni nini!!Mwaka 1978 ulikuwa Vitani Kagera kwa mujibu wa simulizi zako. Tena ukasema ulichukuliwa na ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kuona maiti. Hapa ulimaanisha askari wa JWTZ waliouawa.
Leo unasema ulikuwa Israel! hata kama ulikwenda huko, sidhani kama ulielewa kitu! kwa haya unayoandika ima umesahau au hukujua! kimoja kati ya hivyo ni sahihi
Kipindi cha vita usitegemee sana Rules of engagement au Use of force policy zitafanya kazi. Vitani si lelemama vitani kuna Military Doctrines ambazo lazima zifuatwe hawawezi kufuata hizo Rules za kiraia ambazo zimętunga na watu wasiojua hata vitani kukoje.Rules of engagement za Vita zinasema Raia wanapewa ulinzi na misaada ya kibinadamu.
Marekani imepigana vita Iraq na Pakistan, lini walizuia misaada ya chakula na Dawa? Lini walibomoa Hospitali?Hata pale walipofanya makosa, kwanza, walikubali na kuomba radhi kwa kutofuata ''rules of engagement' Vita si kurusha risasa na mabomu, wewe ulikuwa askari ! mbona haya ni basic kwa askari.
Chakula kwenda Gaza si kwa Hamas ni kwa Raia wasio na hatia na hilo si fadhila, ni sheria za Kimataifa zinazoongoza vita '' rules of engagement'. Ni kanuni za Kibaindamu kwa wenye maadili.
Binafsi sijawahi kuona vita ya Marekani na Pakistan labda nikumbushe ilitokea lini??Marekani imepigana vita Iraq na Pakistan, lini walizuia misaada ya chakula na Dawa?
Miaka yote magari yote yalikuwa yanakabidhiwa magaidi wa Hamas na wao ndiyo wa agawa hicho chakula!!Chakula kwenda Gaza si kwa Hamas ni kwa Raia wasio na hatia na hilo si fadhila,
Mimi najua kimatumbi tu wewe ndiye unajua kiingereza mimi sijasema morally ethical army mimi nilisema “The IDF is the most Moral army on the Planet”Halafu unasema ni '' morally ethical army'' ndio maana nakuambia hujui lkiingereza. Neno ''moral'' lina maana yake. Wewe unataka wauawe Wapalestina wasio na hatia. Walokole hawana Imani mbovu kiaisi hicho! Tofauti yako wewe na Hamas ni ipi?
Ndiyo Mimi sijui kiingereza najua tu Kimatumbi, Kwa sababu huko vitani yote kwako ni sawa tu, lakini kwa askari ambaye mwenzake kashambuliwa na kuuliwa na mtu ambaye kajificha kwenye hospitali harafu akaiacha hospital hiyo ilivyo basi anapaswa avue gwanda avae kiraia maana hafai kuwa askari.Hujui kiingereza! huwezi kuwa na jeshi la maadili linalopiga Hospitali. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalozuia chakula kwa Watoto , Wanawake wafe. Huwezi kuwa na jeshi la maadili linalompiga msichana wa miaka 8 risasi mchana kweupe. Huwezi kuwa na maadili UKIFIRA wafungwa!
Vitu hivyo vinafanyika sana popote hasa magerezani,Majeshini na sehemu żenye mikusanyiko ya watu wengi si jambo jema lakini yanafanyika upende usipende.!!Kwahiyo ''UFIRAUNI'' ni jambo la kawaida! Lakini jiulize, Mfungwa mwenye Pingu anainamishwa na KUFIRWA hilo unaliona la kawaida. Kesho unaimba mapambio ya kilokole! Morally bankrupt.
Ukipelekwa magereza UKAFIRWA unaliona jambo la kawaida! By the way ulikwenda kusomea nini huko!
Siku wa na kazi nyingine zaidi ya Jeshi!,Ulikuwa vitani 1978! kama ulisomea huko kuna vitabu uliacha! nina shaka ulikuwa na kazi zingine!
Hapana! soma taarifa ya Waandishi waliouawa. IFJ hawaendi kupigana. Kilichokusidiwa ni wewe kusoma taarifa ujue Waandishi waliouawa na wanatoka Nchi gani. Kwa akili yako waliouawa ni Wapalestina. Ndio maana nakuambia kasome taarifa za IFJ. Utapata tabu ya lugha lakini jitahidiHiyo IFJ kipindi cha vita usiwategemee utakufa kibudu tu.
Unakiri kwamba huna ushahidi wa Hospitali yoyote kuweka silaha au kuhifadhi Magaidi. Kwa Taarifa yako Hospitali zote zimekaguliwa na Israel, na hawajaona hata kipande cha risasi.Siwezi kukutajia kila hospitali lakini hospitali yoyote iliyokuwa na miundombinu ya kigaidi na ikatumika kuwashambulia askari wa Israel kutokea hapo hiyo inakosa hadhi ya kuitwa Hospital.
Ushahidi wa Shule au Hospitali upo wapi? Tutajie shule moja au Hospitali moja iliyokutwa na SilahaNa usifikiri Israel ni wajinga Kia si cha kubomoa shale,misikiti,makanisa na hospital magaidi wa Hamas walishajijenga sana huko Gaza na walikuwa wanajua kabisa kwenye maeneo hayo Israel hawawezi kufanya kitu.
Unajua ukubwa wa eneo la Gaza!Kinyume chake ndicho kimewatokea na sasa wanalalamika kwa sababu hawana ujanja tena hakuna sehemu ambako watakimbilia wasifuatwe na majeshi ya Israel.
Military doctrine ina lay out the general outlook ya vita. Kwamba , vita ipiganwe kwa utaratibu gani.Kuna pia Military-Doctrines ambazo kila mwanajeshi akiwa vitani lazima azifuate na endapo Rules of engagement ikikinzana na Military-Doctrines basi hapo hapo Military-Doctrines zina Take place.
Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua sana Israel kwa kuruhusu Rules of engagement na use of force policy katika vita.
Bado JWTZ walitumia rules of engagement kwasababu hakuna Kijiji kilichochomwa.Nilimsifu sana Magufuli kuziba mianya yote ya Rules of engagement na Use of force policy katika suala la kibiti na kama angeruhusu hilo magaidi hao wangepata nguvu kubwa kusumbua Tanzania.
Kwahiyo CNN, MNSB, BBC, CFI n.k. nayo yanasaidiana na Hamas!Kwa sasa hivi hakuna mwandishi wa habari anayeruhusiwa kwenda mstari wa mbele hii ni kutokana na UMBEYA wa waandishi hao maana kuna wengine wanafanya kazi na adui na kufanya hivyo kwa sasa ni kuwaweka askari wako hatarini
Je hiyo ni kazi ya Israel kuwazuia!na pia waandishi wanajiweka kwenye hatari wao wenyewe huko Gaza waandishi wako huko for their own risk wasilaum mtu.
Vipi Hezbollah kama wangekuwa na vifaa kama Israel. Vipi miaka 2 Gaza inakuwajeKwa Mashariki ya kati mpaka Uajemi hakuna jeshi dogo na zuri kama la IDF!!
Maelezo yako mwenyewe yanasema '' uliokotwa mitaani kujiunga na JWTZ'' wakati vita inaendelea. Hiyo ndio mara yako ya kwanza kujiunga na Jeshi na kuona maiti. Leo unatuambia ulikuwa Israel na IDFNilikuwa huku Jan 9,1977 mpaka Oct 20,1978 na Oct 30,1978 vita vilianza/kutangazwa hapo sijaelewa shida yako ni nini!!
Rules of engegement zimetokana na majeshi! Hujui kama kimyaaKipindi cha vita usitegemee sana Rules of engagement au Use of force policy zitafanya kazi. Vitani si lelemama vitani kuna Military Doctrines ambazo lazima zifuatwe hawawezi kufuata hizo Rules za kiraia ambazo zimętunga na watu wasiojua hata vitani kukoje.Ndugu vitani ni Life and death.
Rules of engagement ni World wide! please ulikuwa askari wa aina gani usiyejua basic things kama hizi!!Kila kitu walichokifanya Marekani ni lazima Israel wafanye!!!
Fair enough, I meant Afghanistan!Binafsi sijawahi kuona vita ya Marekani na Pakistan labda nikumbushe ilitokea lini??
OK! nani alikuwa anawapa ''magaidi'' misaadaMiaka yote magari yote yalikuwa yanakabidhiwa magaidi wa Hamas na wao ndiyo wa agawa hicho chakula!!
Taja Hospitali moja tu ku back up madai yako. Kama huwezi kutaja, kaa kimyaLakini kwa askari ambaye mwenzake kashambuliwa na kuuliwa na mtu ambaye kajificha kwenye hospitali harafu akaiacha hospital hiyo ilivyo basi anapaswa avue gwanda avae kiraia maana hafai kuwa askari.
Huwezi ukahalilisha Mfungwa ktk Pingu KUFIRWA eti kwasababu aliyefanya UFIRAUNI huo ni mwi Israel.Vitu hivyo vinafanyika sana popote hasa magerezani,Majeshini na sehemu żenye mikusanyiko ya watu wengi si jambo jema lakini yanafanyika upende usipende.!!
Nadhani ulikwenda kuvuna mizaituni!Siku wa na kazi nyingine zaidi ya Jeshi!
Oooh, kumbe wanavyo vyote hivi?Kwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda.
Don’t mess with IDF!!
Mkuu nauza vipedo na makobaz, naomba niunganishe na watu nawe utapata maji ya kunywa.Inawezekana muda unaoutumia kuwawaza waisrael na vipi uandike maneno mazuri ya kupendeza dhidi yao ungeutumia kuwaza Yako saa hizi ungekuwa umeshagundua kitu na wewe, hata kama kingekuwa kimefaa jamii Yako tu ya mtaani Bado ingesaidia.
Bongo rais akiambiwa aachie mamlaka nyengine kuchagua viongozi wa kusimamia uchaguzi ili ajue kama miaka yote waliyoambiwa wanashinda kwa kishindo walikuwa wanashinda kwa wizi au kwa sababu wananchi wanawaelewa anabambikiza watu kesi za uhaini wengine anakamata anaua.
$H!t country!
KigumuTanzania na sisi tuna wakujivunia Gambo na Makonda.. Kidumu chama cha Mapinduzi
Mkuu wasiliana na Mimi mara utakapoanza kuuza matrako hayo!🙏🙏🙏Mkuu nauza vipedo na makobaz, naomba niunganishe na watu nawe utapata maji ya kunywa.