Nguruvi3 inaonyesha Una chuki zako binafsi juu ya Israe!!
Sina chuki yoyote na Taifa la Israel. Ninachukizwa na jinsi mlivyo kuwa ''manipulated' kiasi cha kujitoa ufahamu na wengine kwasababu tu mnadhani ni suala la Dini. Najaribu kukuelewesha kwasababu inaonekana upo Dunia yako. Nikilinganisha na Raia wa Kenya, Uganda au Zimbabwe au South A
1. Israel Ina washirika wake (Allies) kuna shida gani Waki share information?
Hakuna tatizo kabisa. Ndio maana nakueleza kwamba unachokiona si IDF ni nchi Washirika.
Mfano, Inasemwa Israel ilipiga Iran. Kwa mtu asiye na ufahamu ni kweli. Ipo wazi Duniani, Nchi zaidi ya 6 zilishiriki.UK ilisaidia 'angani kama Iran ingejibu. France ilisaidia katika logistic , US ilishambulia kwa kutumia Tomahawak missile tena ilibidi waje Askari 4,000 kutoka Pentagon .
Saudi Arabia ilisaidi njia za ndege , na Jordan ilisaidia kuruhusu anga
Mwisho wa siku Echolima unatuambia ni IDF. '
2. Israel Waki pasta msaada kutoka Marekani wewe unaumia sana sehemu gani ya mwili wako? Wewe unaona kuna shida gani?
Hakuna shida, ndio maana nakuambia ukiona wanatengeneza Silaha si wao, kuna Wakubwa wanatengeneza. Mfano, wakati wa Vita na Hamas, Israel iliagiza Iron Dome kutoka USA.
Nchi za magharibi zilikuwa middle east kusaidia Israel.
Walipoachiwa Lebanon, walipata kipigo wakakubali kusistishwa mapigano.
4. Hakuna udhibitisho wa wazi kuonyesha Israel ilishinikiza Saddam na Gaddaf waondolewe.
Ndio maana nasema huna ufahamu. Video ya BB Nyahu akizungumza hadharani ipo you tube
US wanakiri Saddam hakuwa na Silaha walikwenda kumuondoa kwasababu alikuwa tishio
Dunia yote inafahamu sisipokuwa wewe
Hata hivyo ma Dikteta hao kwa pamoja walikuwa wana mpango wa kuitishia Israel kuishambulia sasa wewe unaona kuna ubaya gani Israel kushinikiza Madiktea hao waondolewe kama wao wenyewe tu walitaka kuiondoa Israel 🇮🇱?
Unajichanganya! hapo juu unasema hakuna ushahidi halafu hapa unaweka ushahidi
Pili, Dikteta ni nani na nani anatoa hadhi hiyo!
5. Silaha za Israel kazi yake si kutatua tatizo la Mashariki ya kati silaha hizo ni kwa ajili ya kujihami na kujilinda na maadui wanaotaka kuiangamiza Israel 🇮🇱.
Sawa
Wewe tena unaona wivu sana Israel ikiwa na silaha zake za kujilinda unatamani kosa kabisa ili wafutwe kwenye uso wa dunia!! Kwa taarifa yako tu ndoto yako haitatimia utafutika wewe na uko wako na Israel itaendelea kuwapo.
Hawana Silaha! wanasaidiwa. Lazima ufike wakati hizi mada za middle east ujifunze
Nikikusoma ! unasafari ndefu. Ninachojaribu hapa ni kukusaidia maana mapenzi yanakutia upofu.
You're better than this!