Hii ndiyo Israel sasa!!

Hii ndiyo Israel sasa!!

Nataka tu kukujulisha kuwa

You are Totally Brainwashed!! Unataka kuniaminisha kuwa Israel hawana Asili yao? Pole sana naweza kuhisi wewe unaongozwa na Mihemko ya kidini au Una chuki zako binafsi na Israel.

Kwako wewe unajua Israel siyo nchi? Na kwa akili yako ndogo unajua Palestina ndiyo nchi? Mungu alikupa akili zitumie vizuri. Kwa akili yako wayahudi kwao sasa ni wapi? Au wewe baada ya Holocaust ulijua wameisha wote??
ASILI YAO NI IPI MKUU SEMA NCHI IKO WAP
 
Fuatilia,Wahouthi wameshambulia Airport ya Israel pamoja na kwamba wana Air defence nzuri.
 
Nataka tu kukujulisha kuwa

You are Totally Brainwashed!! Unataka kuniaminisha kuwa Israel hawana Asili yao? Pole sana naweza kuhisi wewe unaongozwa na Mihemko ya kidini au Una chuki zako binafsi na Israel.

Kwako wewe unajua Israel siyo nchi? Na kwa akili yako ndogo unajua Palestina ndiyo nchi? Mungu alikupa akili zitumie vizuri. Kwa akili yako wayahudi kwao sasa ni wapi? Au wewe baada ya Holocaust ulijua wameisha wote??
Mimi ni mkristo sio Mjewish nimekuuliza Swali, nchi ya Israel iko wapi nikupe somo wali sign mkataba ukisema palestine its a state with no bias nor racial agianst any religion ndio Palestine wakaishi nao lakini baada ya hapo wakaanzisha kitu kinaitwa ZIONIST MOVEMENT KWAMBA WANATAKA ISRAEL IWE NA MAHALI PAO WAPI HAPO PALESTINE SEHEM WALIOFUNGULIWA MLANGO WAKAINGIA UNACHOSHA MAANA HUJUI HISTORY ILA UNAONGEA KWA SABABU UNAHISI UNAJUA
 
hivi unajua maana Ya (AIPAC) NA kazi yao kuu Ni IPI?? RAIS WA ISRAEL NI NANI??🤣 NA UNAJUA MAANA YA ZIONIST MOVEMENT? AU YOU COME WITH A-PAC 🤣 KAMA HUO MSEMO UMEUELEWA BASI UNAJUA KITU
 
Yote ni sawa asili yao na nchi yao!!!
nimekuelewa ulikua hufahamu israel aliambiwa na mungu hatokua na ardhi tena mpaka Yesu arudi Jews wa ukweli wanaamini ARDHI YAO WATAPATA YESU AKIRUD HAO NDIO JEWS WA UKWELI AMBAO BIBILIA IMEANDIKA JEWS ELFU 4 TUU NDIO WATAORIDHI MBINGUNI NA MATAIFA MENGINE YASIO NA HESABU HIO NI BIBLE... KISIASA ISRAEL ALIKARIBISHWA PALESTINE ILA AKATOKEA MWEHU MMOJA AKAANZISHA KITU KINAITWA ZIONIST MOVEMENT KANA KWAMBA WANATAKA NCHI YAO WENYEWE NDIPO WALIPO SAIDIWA NA AMERICANS KUPATA KA NCHI KAO AMBAO WALIWAFUKUZA WAISLAMU NA WAKRISTO NDIO WALIOKIMBIA GAZA UNAELEWA MPAKA HAPO BAADA YA HAPO ISRAEL AKAEKA SIGN ANAYO NCHI TRUMP ALIPOINGIA MADARAKANI MARA YA KWANZA NDIPO ALIPOIGUNDUA JERUSALEM KAMA CAPITAL CITY YA ISRAEL KWANINI ALIFANYA HIVYO KWASABABU (AIPAC) waliopambana na kuhusika kumsupport trump akae madarakani ili achoche uhusiano imara wa marekani na watu wa israel (AIPAC) AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFARIS COMMITTE) NDIO BABA MLEZI WA HIKO KI NCHI UNAITA ISRAEL AMBAYO HAKUWA NAYO MPAKA WALIPO WAPIGA NAKUWATESA WAPELESTINE
 
Inawezekana muda unaoutumia kuwawaza waisrael na vipi uandike maneno mazuri ya kupendeza dhidi yao ungeutumia kuwaza Yako saa hizi ungekuwa umeshagundua kitu na wewe, hata kama kingekuwa kimefaa jamii Yako tu ya mtaani Bado ingesaidia.

Wao hawana muda wa kukujadili sababu Imani yao kwako ni kuwa wewe ni sub-human tu hivyo hata hauhitajiki kuzungumzwa hata kwa dakika.......wapo na yao tu na hatua zinapifwa. Fanya jambo uwathibitishie kuwa na wewe human.....kuwa hivi ni sawa na kuthibitisha tu
Taifa la Mungu kiboko ya Hamas na Waarabu wote.
 
Mimi ni mkristo sio Mjewish nimekuuliza Swali, nchi ya Israel iko wapi nikupe somo wali sign mkataba ukisema palestine its a state with no bias nor racial agianst any religion ndio Palestine wakaishi nao lakini baada ya hapo wakaanzisha kitu kinaitwa ZIONIST MOVEMENT KWAMBA WANATAKA ISRAEL IWE NA MAHALI PAO WAPI HAPO PALESTINE SEHEM WALIOFUNGULIWA MLANGO WAKAINGIA UNACHOSHA MAANA HUJUI HISTORY ILA UNAONGEA KWA SABABU UNAHISI UNAJUA
hivi unajua maana Ya (AIPAC) NA kazi yao kuu Ni IPI?? RAIS WA ISRAEL NI NANI??🤣 NA UNAJUA MAANA YA ZIONIST MOVEMENT? AU YOU COME WITH A-PAC 🤣 KAMA HUO MSEMO UMEUELEWA BASI UNAJUA KITU
Kwa taarifa yako tu ninapo andika hapa niko Jerusalem usifikiri na Mimi nabwabwaja ovyo kama wewe niko hapa toka April 08,2025 na natarajia kurudi Umatumbini Jun 08,2025 kwa hiyo usisumbuke sana kuniuliza maswali ya nyanya!!

Ili twende vizuri bila kupotezana rudi kwenye swali langu la msingi Wayahudi kwao ni wapi au asili yao wapi ?
Tahadhali “usinikimbie”
 
nimekuelewa ulikua hufahamu israel aliambiwa na mungu hatokua na ardhi tena mpaka Yesu arudi Jews wa ukweli wanaamini ARDHI YAO WATAPATA YESU AKIRUD HAO NDIO JEWS WA UKWELI AMBAO BIBILIA IMEANDIKA JEWS ELFU 4 TUU NDIO WATAORIDHI MBINGUNI NA MATAIFA MENGINE YASIO NA HESABU HIO NI BIBLE... KISIASA ISRAEL ALIKARIBISHWA PALESTINE ILA AKATOKEA MWEHU MMOJA AKAANZISHA KITU KINAITWA ZIONIST MOVEMENT KANA KWAMBA WANATAKA NCHI YAO WENYEWE NDIPO WALIPO SAIDIWA NA AMERICANS KUPATA KA NCHI KAO AMBAO WALIWAFUKUZA WAISLAMU NA WAKRISTO NDIO WALIOKIMBIA GAZA UNAELEWA MPAKA HAPO BAADA YA HAPO ISRAEL AKAEKA SIGN ANAYO NCHI TRUMP ALIPOINGIA MADARAKANI MARA YA KWANZA NDIPO ALIPOIGUNDUA JERUSALEM KAMA CAPITAL CITY YA ISRAEL KWANINI ALIFANYA HIVYO KWASABABU (AIPAC) waliopambana na kuhusika kumsupport trump akae madarakani ili achoche uhusiano imara wa marekani na watu wa israel (AIPAC) AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFARIS COMMITTE) NDIO BABA MLEZI WA HIKO KI NCHI UNAITA ISRAEL AMBAYO HAKUWA NAYO MPAKA WALIPO WAPIGA NAKUWATESA WAPELESTINE
Imeandikwa wapi huyo mungu alipowaambia Wayahudi watapata nchi mpaka Yesu arudi?
 
Kwa taarifa yako tu ninapo andika hapa niko Jerusalem usifikiri na Mimi nabwabwaja ovyo kama wewe niko hapa toka April 08,2025 na natarajia kurudi Umatumbini Jun 08,2025 kwa hiyo usisumbuke sana kuniuliza maswali ya nyanya!!

Ili twende vizuri bila kupotezana rudi kwenye swali langu la msingi Wayahudi kwao ni wapi au asili yao wapi ?
Tahadhali “usinikimbie”
🤣🤣🤣Kwahio Nini labda ukiwa Jerusalem, Trump ndio alio sign jerusalem ni capital city ya Israel....
Kwani uliambiwa ukienda upareni lazima ujue historia ya wapare kwanza wewe ni slave bora usingeniambia hakuna Racist wabaya kama Jews na kingine unaleta ubishi hutaki Elimu kasome Bibila Ufunuo Wa Yohana utaelewa mimi hunielewi
 
KUMBE HUJUI CHOCHOTE ALFU UNASEMA UKO JERUSALEM GOD HAVE MERCY ON YOU?? THE REAL JEWS BELIEVE THEY WILL OWN THEIR LAND WHEN JESUS RETURNS
 
Man naomba nikuulize maswali ujiulize Raisi Wa Israel ni Nani?
baada ya israel kushikiliwa Misri Moses alipowatoa utumwani nani Aliwapa eneo la kuishi Ni Mungu... na Nani aliwalaani Hao Jews Ni Mungu ndio sababu hawakua na Kwao kama hapo Uelewe unatetea kitu hujui wewe utakuwa Slave anae sifia slave master wake
 
Kwa taarifa yako tu ninapo andika hapa niko Jerusalem usifikiri na Mimi nabwabwaja ovyo kama wewe niko hapa toka April 08,2025 na natarajia kurudi Umatumbini Jun 08,2025 kwa hiyo usisumbuke sana kuniuliza maswali ya nyanya!!

Ili twende vizuri bila kupotezana rudi kwenye swali langu la msingi Wayahudi kwao ni wapi au asili yao wapi ?
Tahadhali “usinikimbie”
UNANIAMBIA UKO JERUSALEM🤣🤣 HIVI UNAJUA ISRAEL NI RACIST FOOLS KULIKO MTU YEYOTE HAPA DUNIANI... KWASABABU WANAONA PALESTINE WALA WAKRISTO HAWANA HAKI KULIKO YEYE KISA ALICHAGULIWA NA MUNGU LAKINI BIBLE IMETUAMBIA WATASAGA MENO KUITAJINA LA YESU... HAIMAANISHI UKIWA UNAASILI FULANI BASI LAZIMA UWE NA NCHI INGEKUWA HIVYO WACHAGGA WANGETAFUTA NCHI YAO
 
🤣🤣🤣Kwahio Nini labda ukiwa Jerusalem, Trump ndio alio sign jerusalem ni capital city ya Israel....
Kwani uliambiwa ukienda upareni lazima ujue historia ya wapare kwanza wewe ni slave bora usingeniambia hakuna Racist wabaya kama Jews na kingine unaleta ubishi hutaki Elimu kasome Bibila Ufunuo Wa Yohana utaelewa mimi hunielewi
Huo ndiyo ujinga wenu mlmelishwa Matango Pori na sasa mnacheua. Chuki zako hazikusaidii chochote wajinga tu na wapumbavu kama wewe ndiyo wataamini uongo wako huo!!
Eti slave Mbona wewe nawe ni slave wa waarabu? Slave anamcheka Slave mwenzake!!!
 
KUMBE HUJUI CHOCHOTE ALFU UNASEMA UKO JERUSALEM GOD HAVE MERCY ON YOU?? THE REAL JEWS BELIEVE THEY WILL OWN THEIR LAND WHEN JESUS RETURNS
Acha kubwabwaja IMEANDIKWA WAPI? Au ndivyo unavyodanganywa na Wafuga Midevu na Majini wenzako?
Lete hilo andiko lako hapa tulione!!!!
 
UNANIAMBIA UKO JERUSALEM🤣🤣 HIVI UNAJUA ISRAEL NI RACIST FOOLS KULIKO MTU YEYOTE HAPA DUNIANI... KWASABABU WANAONA PALESTINE WALA WAKRISTO HAWANA HAKI KULIKO YEYE KISA ALICHAGULIWA NA MUNGU LAKINI BIBLE IMETUAMBIA WATASAGA MENO KUITAJINA LA YESU... HAIMAANISHI UKIWA UNAASILI FULANI BASI LAZIMA UWE NA NCHI INGEKUWA HIVYO WACHAGGA WANGETAFUTA NCHI YAO
Uongo mtupu mnadanganyana tu hakuna ubaguzi huku,!!!!
 
Attachments

  • v09044g40000d082e17og65u0ssi6ilg.mp4
    7.6 MB
Israel bila America na Europe ni debe tupu tu. Hata panya road wangewatia kihehe. Tena walivyo waoga na kuogopa kufa wangetulia bila wahka.
Hapo hatuja taja wanaume Qasam brigade.
 
Back
Top Bottom