Mkuu kama vile wengine wanabishana yanga na simba kutwa nzima mpaka kula hawali na wengine wamekua vipenzi wa Israel .. Haya ni maisha ni machaguo tuuInawezekana muda unaoutumia kuwawaza waisrael na vipi uandike maneno mazuri ya kupendeza dhidi yao ungeutumia kuwaza Yako saa hizi ungekuwa umeshagundua kitu na wewe, hata kama kingekuwa kimefaa jamii Yako tu ya mtaani Bado ingesaidia.
Wao hawana muda wa kukujadili sababu Imani yao kwako ni kuwa wewe ni sub-human tu hivyo hata hauhitajiki kuzungumzwa hata kwa dakika.......wapo na yao tu na hatua zinapifwa. Fanya jambo uwathibitishie kuwa na wewe human.....kuwa hivi ni sawa na kuthibitisha tu
Ni kweli mkuuMkuu kama vile wengine wanabishana yanga na simba kutwa nzima mpaka kula hawali na wengine wamekua vipenzi wa Israel .. Haya ni maisha ni machaguo tuu
Hivi Abdul huwa anaishi Dar au Zanzibar?Bongo rais akiambiwa aachie mamlaka nyengine kuchagua viongozi wa kusimamia uchaguzi ili ajue kama miaka yote waliyoambiwa wanashinda kwa kishindo walikuwa wanashinda kwa wizi au kwa sababu wananchi wanawaelewa anabambikiza watu kesi za uhaini wengine anakamata anaua.
$H!t country!
Huyo ni kilaza fulani hivi elimu ilipita kushoto...Inawezekana muda unaoutumia kuwawaza waisrael na vipi uandike maneno mazuri ya kupendeza dhidi yao ungeutumia kuwaza Yako saa hizi ungekuwa umeshagundua kitu na wewe, hata kama kingekuwa kimefaa jamii Yako tu ya mtaani Bado ingesaidia.
Wao hawana muda wa kukujadili sababu Imani yao kwako ni kuwa wewe ni sub-human tu hivyo hata hauhitajiki kuzungumzwa hata kwa dakika.......wapo na yao tu na hatua zinapifwa. Fanya jambo uwathibitishie kuwa na wewe human.....kuwa hivi ni sawa na kuthibitisha tu
Huwa nawaambia makobaz kwamba Israel imepambana na miungu wengine waliojaribu kuifuta kama akina Baal, sembuse wao aliyebuniwa juzi tu.
Wewe unayetumia muda wako mwingi kuwaza magaidi umegundua kitu gani cha kusaidia jamii yako??Inawezekana muda unaoutumia kuwawaza waisrael na vipi uandike maneno mazuri ya kupendeza dhidi yao ungeutumia kuwaza Yako saa hizi ungekuwa umeshagundua kitu na wewe, hata kama kingekuwa kimefaa jamii Yako tu ya mtaani Bado ingesaidia.
Wao hawana muda wa kukujadili sababu Imani yao kwako ni kuwa wewe ni sub-human tu hivyo hata hauhitajiki kuzungumzwa hata kwa dakika.......wapo na yao tu na hatua zinapifwa. Fanya jambo uwathibitishie kuwa na wewe human.....kuwa hivi ni sawa na kuthibitisha tu
Kabisa Mkuu.Hapangiwi mtu kitu Cha kukipenda na kukifuatilia.Mkuu kama vile wengine wanabishana yanga na simba kutwa nzima mpaka kula hawali na wengine wamekua vipenzi wa Israel .. Haya ni maisha ni machaguo tuu
Nguruvi3 inaonyesha Una chuki zako binafsi juu ya Israe!! Nakujibu maswali yako kama ifuatavyo:Echolima1 una mapenzi yanayokutia upofu lakini kubwa zaidi huna ufahamu wa mambo ya Dunia
1. IDF unayosema inafanya kazi kutoka Pentagon USA. Hakuna shambulio la IDF lisiloidhinishwa Pentagon
2. USA mwaka huu imeipata Israel msaada wa Silaha za Dollar Blilioni 20 sawa na Tsh 50Trilioni (Bajeti ya TZ)
3. Kwanini unadhani IDF inashinikiza USA wapige Iran? Kwanini wasiende wenyewe
4. Kwanini Israel ilishinikiza Sadam na Gadafi washughulikiwe!
5. Silaha unazosema zimetatuaje tatizo la middle east!
Wewe wasema hakuna wa kukupinga lakini pamoja na hayo huwezi kubadirisha kitu chochote Magaidi watapigwa bila shida yoyote. Kubwabwaja kwako hakuwezi kubadirisha lolote kuhusu Military Mighty ya Israel, wewe endelea kuumia tu na ukitaka meza wembe!!Katika mataifa 10 yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani Israel haipo.
Israel iendelee kupambana na migambo wa hapo M.E hafikii hata level za South Korea