Hii ndiyo 'double standard' ya jeshi la polisi inayolalamikiwa.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
LISSU; Naomba msaada wa polisi na usalama wa taifa, kuna gari na watu nisiowafahamu, wananifuatilia kila niendapo.

POLISI; Hatufanyii kazi press conference. Kama mtu ana taarifa awasilishe kituo cha polisi sio kuitisha press conference.

MUSIBA; Kuna watu 10 hatari kwa usalama wa nchi, washughulikiwe mapema. Wasiachwe hawa.

POLISI; Tumeipokea taarifa hiyo, na tunaifanyia kazi hadi sasa. Taarifa yoyote ni muhimu kwetu hata iwe imetolewa na kichaa.

[HASHTAG]#tanzaniarevolution[/HASHTAG] .
 
1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.

2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.

Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.

Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
 
Hapa sasa tumejua wapobupande gani.Hawa si kwa ajilibya wote bali ni kwa ajili ya watuvwachache huko serikalini.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
LISSU; Naomba msaada wa polisi na usalama wa taifa, kuna gari na watu nisiowafahamu, wananifuatilia kila niendapo.

POLISI; Hatufanyii kazi press conference. Kama mtu ana taarifa awasilishe kituo cha polisi sio kuitisha press conference.

MUSIBA; Kuna watu 10 hatari kwa usalama wa nchi, washughulikiwe mapema. Wasiachwe hawa.

POLISI; Tumeipokea taarifa hiyo, na tunaifanyia kazi hadi sasa. Taarifa yoyote ni muhimu kwetu hata iwe imetolewa na kichaa.

[HASHTAG]#tanzaniarevolution[/HASHTAG] .
Iko kazi....
 
Akili za polisi wa nchi hii yani ni basi tu
 
Hahahaaaa, kweli jeshi hili limevamiwa. Ni stoo ya vyeti feki.
 
POLICCM,wasiojua amani ni tunda la haki,sasa hivi wenyewe washajua amani wanayodai ipo imeshikishwa na super glue ya marisasi yao thats why vitisho viingi kila kukicha,ni lini watanzania walishawahi kufikiri kama wanavyofikiri yote haya,unapokuwa na watawala wabovu wenye roho mbaya kama bashite unatarajia nini? you reap what you sow hata kaa ikishindikana april 26 itawezekana miaka ijayo sababu minds za watu ndivyo zinavyotaka,unyanyasaji umezidi sana
 
LISSU; Naomba msaada wa polisi na usalama wa taifa, kuna gari na watu nisiowafahamu, wananifuatilia kila niendapo.

POLISI; Hatufanyii kazi press conference. Kama mtu ana taarifa awasilishe kituo cha polisi sio kuitisha press conference.

MUSIBA; Kuna watu 10 hatari kwa usalama wa nchi, washughulikiwe mapema. Wasiachwe hawa.

POLISI; Tumeipokea taarifa hiyo, na tunaifanyia kazi hadi sasa. Taarifa yoyote ni muhimu kwetu hata iwe imetolewa na kichaa.

[HASHTAG]#tanzaniarevolution[/HASHTAG] .

Inashangaza sana. Mi najiuliza hivi utawala wa sasa utakapo maliza muda wao wa miaka 10 sijui watajuvunia kipi ambacho wanakifanya sasa na wananchi wakakifurahia?
 
Tatizo la polisi lipo kwenye 'recruitment' yaani wanaoajiriwa ni 'failure' mno ndio maana haya yote yanatokea, na mbaya zaidi hao ndio wanapewa bunduki.
 
Back
Top Bottom