Huyu mtengenezaji kesha nyoosha maelezo, sasa wewe mtumiaji endelea kutamba,Mbona unamaind blaza,,,,vimba na upasuke.....wape salaaaam
Mimi situmii FM , FM ilishagoma kitambo mbonaHuyu mtengenezaji kesha nyoosha maelezo, sasa wewe mtumiaji endelea kutamba,
As long as wewe ni user tu punguza ujuaji dogo.
ππΎ
π£ Announcement
V10 will be released in a few days. HOWEVER, there are a few points that we would like our users to know.
1) WhatsApp introduced new updates to their verification server, and linked the checks with Google Play (using Firebase App Check/Play Integrity API) for all users who are using mods. Therefore, 90% of banned numbers will not work on V10. Not possible to bypass currently. You can only verify with official app.
2) New numbers and users who have not been banned, can use V10 normally on your own responsibility.
3) In case WhatsApp keeps these new verification rules, FMWA V10 will be the last version.
4) We will soon send a step-by-step guide on how to move your chats & media from FMWA to the original app without losing anything.
Thank you for your attention, and if V10 is the last version, it was our pleasure to be with our members for the past 7+ years
FouadMODS TEAM 2024β¨
Huyo jamaa ni mmliki wa modded WhatsApp zaidi ya mojaMimi situmii FM , FM ilishagoma kitambo mbona
Mimi Gb yangu sio ya Fouad hizo zinakuaga na majina sawa ila wamiliki wanaweza wakawa tofauti sema mara nyingi hua wana share code, yangu kuna forum za wa Iran ndo nilibeba hukoHuyo jamaa ni mmliki wa modded WhatsApp zaidi ya moja
Fm
Yo
Gb
Wa
Okay enjoy...Mimi Gb yangu sio ya Fouad hizo zinakuaga na majina sawa ila wamiliki wanaweza wakawa tofauti sema mara nyingi hua wana share code, yangu kuna forum za wa Iran ndo nilibeba huko
Panga wanalopitisha watsup sio la kitoto, ni suala la muda tuPunguza kujitapa mkuu, wewe sio owner wa gb Whatsapp na the rest, kama hujafikiwa wewe tulia tu. Siku zina hesabika na wala hutokuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda.
Miaka mingi inakuaga hivo tu,,,,.....watu wanazitungua hadi PS wanacheza online sembuse watsapPanga wanalopitisha watsup sio la kitoto, ni suala la muda tu
Umeonaee, hakika ni suala la muda tu.Panga wanalopitisha watsup sio la kitoto, ni suala la muda tu
Nna jamaa yangu mmoja alikuwa anatumia Yo watsup, kipindi GB zimeanza kupigwa ban yeye akawa anadunda.Okay enjoy...
WHATSAPP BOT
Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot.
BOT FEATURES
π€ Auto View Status
πHii utaview status ata ukiwa offline tena just nowπ
π€Always Online
πhii muda wote utaonekana active online ata Kam umezima sim au huna bandoπ
π€Virtual Typing/Recording
πHii ukitaka kuweka ili tu uwavuruge watu kama ni magroup yako utaonekana muda wote una type au una record audio mtu akituma text kumbe kijana wawatu umelala zako huna bandoπ
π€ Acces to chat GPT and Google
πHapa Utauliza swali lolote naitajibiwa kwausahihiπ
π€Group Management E.g Setting antilink and bot removes anyone who sends link, tag all, welcome etcπ«£
πHii inasaidia ku handle group kwaurahisi kama ukiwa admin kufuta link zote zinazotumwa ata kama haupo online kutag watu wote kweny group ili waje kwaurahisi unapokuwa na tangazo la muhimu
π€Download Songs (Both Audio and Video)
πuta download music audio au video kuoitia Whatsapp yako
π€ Features ni nyingi hzo ni basic pia Kuna kusev status sio unaumwambia mtu nitumie hiiπ, kutengeneza logo, kuonesha picha au video uliotumiwa view once π
* And 300+ other features
Cost TSH 1000
Whatsapp me * +255623553450
Mimi nilikuwa natumia whatsapp gb naona imefutwa kabisa siwezi tena kui accessgb bado inantosha kwa sasa
Atarudi tu nyumbani, uzuri jamaa sasa hivi wanakupenyezea ujumbe kwanza, ukijifanya mkaidi tu. Wanakutembezea π₯Shida yote ya nini
Dah mimi nilipigwq ban februaryNna jamaa yangu mmoja alikuwa anatumia Yo watsup, kipindi GB zimeanza kupigwa ban yeye akawa anadunda.
Kila mtu ambaye alikuwa anatumia GB anasema amefungiwa ila yeye bado akawa anadunda. Anajisifia kabisa kwake hawawezi kumfungia, last week nimeongea nae amesema anatumia Official Watsup baada ya kupigwa Ban. Mimi nilipigwa ban toka december, yeye amepigwa mwezi wa 3 mwishoni.
Nilichogundua ni kwamba, jamaa wanaenda mdogo mdogo kupiga watu ban ila ban kukufikia itakufikia tu.
Ujumbe nilipataga kwenye FM tu na baadae wakapita nayo,,,,ila GB hata ujumbe hakunaAtarudi tu nyumbani, uzuri jamaa sasa hivi wanakupenyezea ujumbe kwanza, ukijifanya mkaidi tu. Wanakutembezea π₯
Utakuja tu wala usiwaze,mi mwenyewe ni muhangaUjumbe nilipataga kwenye FM tu na baadae wakapita nayo,,,,ila GB hata ujumbe hakuna
Hehe kipindi nasubiri pia nachimba sehem nyingine najua hadi wanikute huku nitakua tayari nimepata chimbo lingineUtakuja tu wala usiwaze,mi mwenyewe ni muhanga
Haya kila la kheri mkuuHehe kipindi nasubiri pia nachimba sehem nyingine najua hadi wanikute huku nitakua tayari nimepata chimbo lingine