Bado ninayo na ninadunda walinipata kwenye fm tu ila gb inapigaHivi Kuna anaetumia gb nowadays boy
Kama iligoma kwenu poleni,,,,wengine bado inapiga ........na ndo ninayoitumia kwa sasaAcha kuturusha boy ukitumia Whatsapp nyingine yyt kama sio official unapigwa ban
Hongera ila nakushauli acha kutumia mara Moja maana hiyo gb Whatsapp yako siku ikiomba ku update ndio mwisho wa acc yako yaani utakula ban la maanaKama iligoma kwenu poleni,,,,wengine bado inapiga ........na ndo ninayoitumia kwa sasaView attachment 2949914
Ban hazijaanza leo kijana , na hatujaanza kutumia hizo app leo , tunajua namna ya kwenda nao,,,matoleo yanayofata jamaa watafix tena na watu wengi watarudi tena Gb ,hizi ishu zao hawajaanza leoHongera ila nakushauli acha kutumia mara Moja maana hiyo gb Whatsapp yako siku ikiomba ku update ndio mwisho wa acc yako yaani utakula ban la maana
Punguza kujitapa mkuu, wewe sio owner wa gb Whatsapp na the rest, kama hujafikiwa wewe tulia tu. Siku zina hesabika na wala hutokuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda.Ban hazijaanza leo kijana , na hatujaanza kutumia hizo app leo , tunajua namna ya kwenda nao,,,matoleo yanayofata jamaa watafix tena na watu wengi watarudi tena Gb ,hizi ishu zao hawajaanza leo
Kwani hamna utoto hapo? ππ yan uset typing na huku ukiwa umelala zako? Si tutaona unamiliki cm mbovuNgoja wanaotumia official wasap waje waseme una utoto mwingi na huna akili π
Nishamwambia hana akili,sasa nionekane online 24 hrs inanisaidia niniNgoja wanaotumia official wasap waje waseme una utoto mwingi na huna akili π
Mbona unamaind blaza,,,,vimba na upasuke.....wape salaaaamPunguza kujitapa mkuu, wewe sio owner wa gb Whatsapp na the rest, kama hujafikiwa wewe tulia tu. Siku zina hesabika na wala hutokuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda.
Kwani hamna utoto hapo? ππ yan uset typing na huku ukiwa umelala zako? Si tutaona unamiliki cm mbovu
Nilivyokuwa natumia GB wasap nilikuwa nmeset kuview status na ujumbe zilizofutwa tuu na nlkuwa sizijibu chcht ila mambo mengine yote yalifanana na wasap ya kawaida.Nishamwambia hana akili,sasa nionekane online 24 hrs inanisaidia nini
Watu wanatumia mkuu...Hivi Kuna anaetumia gb nowadays boy