wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,593
- 3,148
Maandamano ni ishara ya kuonesha hisia flani kwa jamii dhidi ya jambo flani aidha la kupendeza au kuchukiza,haya ni mawazo yangu,sina hakika kama niko sahihi kwa asilimia zote.
Maandamano yanayofanywa na wana ccm mara nyingi hua hayana uvunjifu wa amani na utulivu ,hakuna wizi ,uchomaji moto maduka na kuharibu biashara,kwa ujumla humalizika kwa amani.
Maandamano ya upinzani mara nyingi ni yenye vurugu ,wizi,uvunjaji maduka,uporaji na ghasia za kila aina,hili halikubaliki sehemu yoyote ile ya wastaarabu duniani.
Serikali haitakubali wakora ,wezi,wahuni na majambazi kujificha kwenye kichaka cha maandamano ya kisiasa kisa yametajwa kwenye katiba,intelijensia ikihisi kuna hatari hiyo hawataruhusu maandamano kufanyika.
Mwisho,tii sheria bila shuruti
Povu ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app