Mbona hata bima ya afya wana miwani ya bei kama hizoMiwani hiyo thamani yake ni Euro 243 sawa na 685,000 Tsh.
ID yako imenifanya nishindwe kumaliza kusoma ulichoandikaView attachment 3016442
Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.
Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond plated. Miwani hiyo thamani yake ni Euro 243 sawa na 685,000 Tsh.
View attachment 3016448
Credit - HabariMtandaoni
So what?View attachment 3016442

Na mi nimeshangaa sana mleta uzi kuona hiyo ni hela nyingi mbona watu wengi tu wanazo za bei kuliko hiyo!Mbona hata bima ya afya wana miwani ya bei kama hizo
😀Na mi nimeshangaa sana mleta uzi kuona hiyo ni hela nyingi mbona watu wengi tu wanazo za bei kuliko hiyo!
Aisee nilijua $243,000 kunbe ni 243, mimi kapuku nilikuwa na Ray-Ban ya £165 ikaanguka na kupasuka kioo kimoja.View attachment 3016442