The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,468
- 12,274
Mbona kama uko frustrated?Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekan
kwa lipi? Nlichoandka najua hujakielewa kwasababu ufahamu wako ni mdogo sn, kukaa kmy nako ni hekma na pia ni jbu nadhan ungechagua hlo kuliko mazandara uliyoandka kwa kuhisi tu. Au ww ni mke wng?Mbona kama uko frustrated?
Russia alisema mwezi mmoja anachukua Ukraine, miaka mingapi sasa
Hujui kwamba NATO ndiyo inapigana na Russia (through Ukraine)?Russia alisema mwezi mmoja anachukua Ukraine, miaka mingapi sasa 😂😂😂😁
Mlikuwa hamjui? au mlifikiri NATO atakaa pembeniHujui kwamba NATO ndiyo inapigana na Russia (through Ukraine)?
Unatuuliza sisi ni Russia?Mlikuwa hamjui? au mlifikiri NATO atakaa pembeni
Wewe si ndio msemaji wa Kremlin, usikimbie majukumuUnatuuliza sisi ni Russia?
Bado umepanic br.kwa lipi? Nlichoandka najua hujakielewa kwasababu ufahamu wako ni mdogo sn, kukaa kmy nako ni hekma na pia ni jbu nadhan ungechagua hlo kuliko mazandara uliyoandka kwa kuhisi tu. Au ww ni mke wn
Mifumo iko sawa, ila watu wananunuliwa!. Mfumo bila kuwa online standby utafanyaje kazi?Yaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekani..
Anajitekenya huyuHujui kwamba NATO ndiyo inapigana na Russia (through Ukraine)?
kwaiyo S300, 400, 500 ndani ya urusi wanajesh wamenunuliwa kusaliti taifa lao au siyo?Mifumo iko sawa, ila watu wananunuliwa!. Mfumo bila kuwa online standby utafanyaje kazi?
kichwa pumbu wewe unaleta ulokole maviYaleyale ya S400, S500 kwmb inaona mpk sisimiz ardhini mpk uturuki akayanunua hayo ma chuma chuma, vita ya ukraine imeyavua nguo kbs mpk uturuki anataka yarudsha arudshiwe pesa yake anunue mfumo toka marekani na apewe ndege vita F 35, kwmb huo mfumo wkt madulo anadakwa ulishndwa nn tumika kuinglia mawasiliano ya special forces wa USA? meli ya urusi ya pili leo imedakwa bila mawasiliano USA wasngefanikiwa kuidaka huo mfumo ulikuwa wp kuingilia mawasliano ya wanajesh wa marekani..
Kwa hiyo intelijensia ya urusi haikujua kwamba ulaya itaingilia? Mbona ukraine ilijua kwamba Putin atasaidiwa na Iran, north korea, china.....?Hujui kwamba NATO ndiyo inapigana na Russia (through Ukraine)?