Hii ndio sura halisi ya mchungaji wetu...

Hii ndio sura halisi ya mchungaji wetu...

Yaani huyu ndio Mchungaji! anaonekana kama kibaka fulani tu.

Nampongeza sana Mch. Msigwa, na Mungu ambariki sana ''Anatukanwa kwa ajili ya kutetea haki'' sina shaka kuwa anaelewa, yanayomkuta ni Biblical, waache wakutukane na kukudhihaki, furahi kwa kuwa unashiriki mateso kwa ajili ya haki.
 
jembe hilo, ccm hapo wanasikia raha sana wakiona mtu mzm anadhalilishwa kumbe cc huwo ujasiri na ukamanda wenyewe
 
Yaani huyu ndio Mchungaji! anaonekana kama kibaka fulani tu.
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, juzi mchungaji wetu alifanikiwa kwenda kutimiza sera na utaratibu wa chadema.

Hebu muangalieni alivyopendeza.....

Hii ndio sura yake orijino, nyingine feki tu

Hii ni hasara kubwa kwa watu wa Iringa kwani mbunge wao anatumia muda mwingi mahakamani na polisi kuliko kwenye shughuli za kimaendeleo

Jitambue!
Msigwa na sera za kuwekwa korokoroni, halafu anafikiri atapata umaarufu.
 
Mandela alikaa miaka mingapi jela? Hiyo ndiyo gharama ya ukombozi dhidi iya udhalimu, unyonyaji na ugandamizaji! Sina kadi ya chama chochote lakini huwa nakuwa inspired sana na hawa jamaa.
 
Kweli anaonyesha hana upako usoni!!!! Sijui kama jamaa walimpa hata nafadi ya kunawa uso
 
Kamanda Msigwa pole kwa kudhalilishwa na viongozi wa ccm na polisi wao. Naamini wanakuandama sana kutokana nu kutoboa siri kuhusu meno ya tembo. Dentist anahusika.

Magamba yanakuchukia sana kutokana na ulivyowaumbua kwenye mchango wako wakati wa mjadala wa ripoti ya Operation Tokomeza pia.

Tuko na wewe. Mungu akulinde.
 
Mandela alikaa miaka mingapi jela? Hiyo ndiyo gharama ya ukombozi dhidi iya udhalimu, unyonyaji na ugandamizaji! Sina kadi ya chama chochote lakini huwa nakuwa inspired sana na hawa jamaa.

wee kweli choo unamlinganisha mandela na kibaka.tafakari
 
Mtu utasemaje Mheshimiwa Msigwa ni kibaka bila kusema ameiba kitu gani?

There is a severe infestation of buku 7 people in JF today. Ni kwa sababu ya uchaguzi wa kesho? Hawatumii logic yoyote.
 
wee kweli choo unamlinganisha mandela na kibaka.tafakari

We unasema Kibaka, Mandela alikuwa kwenye orodha ya MAGAIDI mpaka mwaka 2008!!
hang-mandela-428x568.png

Halafu ondoa hayo matusi, humu tuko watu wa umri tofauti, si busara kujadili kwa maneno yasiyo na staha.
Naelewa huenda uko kibaruani, I respect that! However, usiondekeze sana maneno yasiyo na maana hata kwa watu usiowajua, kijiweni na vijana wenzako ruksa. Natumai umenielewa.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, juzi mchungaji wetu alifanikiwa kwenda kutimiza sera na utaratibu wa chadema.Msigwa pambana hiyo ni mojawapo ya utumishi ulioitiwa tena nakupongeza sana japo sina dini wala chama.

Hebu muangalieni alivyopendeza.....

Hii ndio sura yake orijino, nyingine feki tu

Hii ni hasara kubwa kwa watu wa Iringa kwani mbunge wao anatumia muda mwingi mahakamani na polisi kuliko kwenye shughuli za kimaendeleo

Jitambue!
IMG_0029.JPG
Msigwa pambana huo ni mojawapo ya utumishi ulioitiwa japo mimi sina dini wala chama nakupongeza kwa ujasiri ulio nao ni watumishi wachache sana wanadhubutu kama wewe.Yule mama wa mikocheni amekuwa mbuzi badala ya kondoo kawa fisadi na muongo kuliko aliotakiwa kuwaongoza sala ya toba.
 
He..! kumbe mchungaji ana kondoo wengi humu eeh!, hawa ndiyo wakiambiwa wale majani wanafakamia kama hawana akili nzuri, hakika kujitambua ni raha sana.
 
we unasema kibaka, mandela alikuwa kwenye orodha ya magaidi mpaka mwaka 2008!!
View attachment 137921

halafu ondoa hayo matusi, humu tuko watu wa umri tofauti, si busara kujadili kwa maneno yasiyo na staha.
Naelewa huenda uko kibaruani, i respect that! However, usiondekeze sana maneno yasiyo na maana hata kwa watu usiowajua, kijiweni na vijana wenzako ruksa. Natumai umenielewa.

kwa hilo la lugha nimekuelewa lakini msigwa wako ni kibaka tu anatafuta maisha hata kupigania haki kunahitaji busara.kuleta furugu sizizo na msingi ni upuuzi.usirudie kumlinganisha mandela na kibaka .
 
Nampongeza sana Mch. Msigwa, na Mungu ambariki sana ''Anatukanwa kwa ajili ya kutetea haki'' sina shaka kuwa anaelewa, yanayomkuta ni Biblical, waache wakutukane na kukudhihaki, furahi kwa kuwa unashiriki mateso kwa ajili ya haki.

Mbona wewe huendi, mwenzio ananyea kidebe huko! na kuna kamchezo mbaya huko shauri yenu!.
 
Back
Top Bottom