Mkuu usisumbuke na mwonekano wa nje!nenda mbali kidogo kifikra tafakari yaliyo mwoyoni mwake km kweli yanasaidia jamii iliyomchagua!?je anawajali masikini?je anawasikiliza waliomchagua?anatelekeza aliyoyahahidi?nk,dunia ya leo tukiwa bado tunaangalia sura kuwapata viongozi wetu UMASIKINI lazima utamalaki kwenye jamii zetu
Wala haisumbui imani yangu. Namkubali Kijana Mch Huyu.
Kama Che Guevara, Kimathi na Kenyatta, Samora na Mandela. Nyerere alipanda magari ya mkaa kuleta uhuru. Ukombozi si utanashati na kulala chumbani na mkeo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.