Hii ndio starehe ya kwanza duniani


Tuko pamoja mkuuu...ndio pleasure hatari duniani acha tuu.
 
MANENO kuntu!
Mwenye Enzi Mungu tujalie afya njema na utajiri na furaha na Amani tele watanzania wote milele yote!
 
Ice cube kwenye nyimbo yake ya Until we reach anakwambia Best thing in life is healthy, be yourself playa.
 
Sawa mkuu na kwa kuongezea tu kidogo pia hhata kuachia ushuzi,kujampa pia ni afya na ni starehe pia,ila kuwa makini usije kata gogo bila tarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…